Upuuzi wa Heslb tulioko vyuoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upuuzi wa Heslb tulioko vyuoni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Zidy, Apr 20, 2012.

 1. Z

  Zidy Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Habarini ndugu zangu! Nashindwa kuelewa hasa fomu za kuomba mikopo online, sisi tuliopo vyuoni wametuweka category moja na hawa six leavers kwa mana hiyo tunatakiwa kulipa tena 30,000...kwanini wanatufanyia ivi lakini? Hiyo pesa tulisha lipa mwaka jana na pia tuli appeal tena kwa 5000...data zetu zote wanazo wanataka tena tu apply, naombeni mawazo yenu jaman
   
 2. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  Aisee ngoja nifuatilie coz na mm ni continuing
   
 3. E

  Epicauta elbovitata Senior Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Si kwel kama unavosema mkubwa Zidy..nilikua kene banda lao leo diamondjubilee leo na apa nilipo nna flyer ya online apprication system guidline yao..
  Ngoja ninukuu sehemu unayoitaka wewe,ina sema iv,

  "All 2nd,3rd and 4rth year continuinin stdnts who paid one time loan applictin fee of Tzs 30,000 for academic year 2009/10, 2010/2011 and 2011/2012 shall not b required to pay any fee." mwisho wa kunukuu
  i hop that will help
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Thanx God,mkataba wangu na hao wapumbavu unaisha mwezi wa 6.
   
 5. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  usiwaite wapumbavu wakat wanakuwezesha
   
 6. d

  deecharity JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  mkubwa mwsho wakurenew ni lini?
   
 7. Z

  Zidy Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hapo first year hatupo epicauta,wameanzia 2nd year na unajua kundi kubwa la waliokosa mikopo ni sisi! Kwa hiyo wametugeuza vitega uchumi vyao
   
 8. E

  Epicauta elbovitata Senior Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  30/06/2012
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  sio wao wanao niwezesha,ni kodi za watanzania hzo mkuu.
   
 10. G

  Ginner JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180

  Mkuu kama hayo uyasemayo yanaukweli...kwa mwaka wa kwanza waliokosa mkopo waapply wap sasa...maana kuna options tatu.....
  1) first time applicants
  2)Loan Beneficiaries(1st-3rd Year) ?
  3)Loan Beneficiaries(4th - 5th Year)

  Aya waende wapi kati izo option maana wao sio loan beneficiaries
   
 11. Z

  Zidy Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  tunaapply pale kwa first time applicants..kama una computer peleka cursor yako pale kwa waliweka alama ya mshangao(?) utaona wanaotakiwa kuapply pale
   
 12. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ivi kwa wale continuing,boom linatoka lini? I mean la mwisho kabisa (kwa semester hii ya pili)
   
 13. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Option 1 ndo sahii kwa nyie. Kwa7bu kama haukupata kabisa mwakajana,hivyo hauwezi kuwa option 2. Hakuna namna kaka ya kukwepa kulipia tena.
   
 14. G

  Ginner JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Kwmaana iyo hawa watu wa bodi wametufanya sisi ndo migodi....kitendo cha kilipia tena inamaanisha jumla tutakuwa tumechangia zaidi ya 60000 kwa bodi na bado ile ya kuappeal....imagine hali ilivyo kwa mtanzania mwenye kipato cha chini
   
Loading...