Habari muhimu kuhusu mgomo wa wanafunzi wote wa vyuo vikuu tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari muhimu kuhusu mgomo wa wanafunzi wote wa vyuo vikuu tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mwanaharakati7, Nov 12, 2011.

 1. m

  mwanaharakati7 Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni MTANZANIA niliyefanikiwa kujiunga na chuo kikuu cha dodoma (udom) mwaka juzi kwa bahati nzuri nimefanikiwa kupata mkopo 100% ni kweli fedha imeongezeka lakini haitakuwa vizuri mimi niongezewe na wengine wakose kabisa haikuwa dhamira yetu.Sisi ndiyo tumesababisha wadogo zetu wa mwaka wa kwanza kukosa kabisa mikopo wakati serikali yetu inafedha nyingi tu za kutusomesha wote,sasa tuamueni moja tuwasaidie wadogo zetu ili nao waweze kupata elimu,ebu fikiria zaidi ya wanafunzi 1000 wamekosa mikopo wengine tunaosoma nao wanarudi nyumbani kwa sababu hawana fedha za kujikimu..Tuacheni unafiki, kuna watu hawana mikopo jaman isiwe kigezo cha kuongezewa sisi hela ndio inatuvunja nguvu ya kudai haki za wengine,isije ikathibitisha kauli kuwa "mwenye nacho anaongezewa asiye nacho anajimwa"kwel hata ALAH anakataa.Tusije tukaonekana ni WANAFIKI mbele ya jamii na ahera pia kisa tumeongezewa bumu kumbukeni hata wao wanatutega kwa hili.SASA tuungane vyuo vyote TANZANIA kupinga hili swala kwa sababu kila chuo kuna watu hawakupata mikopo,UDSM wameanza,tuungane jamani ili hata alah asituone wanafiki pia kuongezeka kwa bumu isiwe sababu ya kutowasaidia wenzetu.SISI NDIO VIONGOZI WA NCHI YETU.Nasisitiza kuanzia jumatatu tarehe 15/11/2011 vyuo vyote TANZANIA tuungane kupinga hili swala kwa kutoingia darasani.Kila mtu anaongozwa na nafsi yake pamoja na mungu mmoja.
   
 2. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli umenena mkuu tuanze mandamano tu kudai haki zetu za msingi mana serikali hi dharimu ya CCM imezidi uonezi.
   
 3. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  "sasa wewe utakuwa wapi wakati sisi tunapigwa mabomu kaka " wanauliza wadogo zako
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  tunawaunga mkono...
   
 5. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Labda vyuo vingine lakin sio udom,udom wenzao wamefukuzwa wapo nyumbani had sasa,wao wamekaa kimya wanaendelea na masomo wakat wenzao hawajui hatma yao.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Mgomo mkubwa kama huo inabidi tahiliso(umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu) wapewe taarifa na hayo mambo uliyozungumza ni muhimu cha msingi ongea na uongozi wa chuo chenu wakupe contacts za rais wa tahiliso ili umpe mchakato wako otherwise sidhani hyo tartehe 15 watagoma
   
 7. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nyie c ndo mnaomzomeaga rais...kuleni kelele zenu sasa!Na hatushindwi kuwatimua wote..muanze tena application hatuna shda sisi...wasom wa cku hz ovyoo kabisa,,,yoo
   
 8. m

  mbweta JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wazo zur ni kuorganise 2 mana mtu anapata chuo mkopo hakuna alaf tunaona kila wizara inafanya maadhamisho ya miaka 50. Kama vip katibu mkuu wizara ya elim nae aandike barua kwa wizara zote na taasis wampatie pesa hawape wanafunz mkopo.
   
 9. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  soma a, b,c, d,e,f,g good umeweza kesho nitaendelea kukufundisha h,i,j,k ukiweza utaanza darasa la kwanza mwakani
   
 10. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  Kati ya vyuo ambavyo kuna mazezeta wengi ni UDOM maana nilitegemea wingi wa wao ungewafanya watoe shinikizo juu ya matatizo ya wanafanzi wenzao warudi yamekaa kama mazezeta alafu cha kushangaza nusu yao kati ya wanafunzi wenye mkopo hawakupewa hadi muda huu na haijulikani watapewa lini.kingine ni kuwa yameongezewa bei ya chakula kwa asilimia 50 eti kwa ajili ya compasation za inflation ya asilimia 16.7.ndio maana watu wengi wanawaita Chuo cha vilaza wa Tanzania.BIG UP my camp UDSM kwa kuwa mkombozi wa kila jambo linalohusu maslahi ya wanachuo nchini ikiwemo ongezeko la feza za boom. Na maliza kwa kusema "WATAGOMA WOTE ILA SIO HAO MAZEZETA WA UDOM".
   
 11. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kila kitu kinawezekana mkiungana!!
   
 12. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Fanyeni linalowezekana kupata majibu ya maswali yenu!!
   
 13. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  we ni mbaguzi mwazisha mada anaunganisha nguvu wewe unavunja acha hizo.
   
 14. j

  jigoku JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wadogo zangu na tunaolingana na kunizidi umri,wito wangu kwa vijana walioko kwenye taasisi za elimu ya juu,mnapaswa kujiuliza elimu yenu inawasidia nini kuutambua ukweli na hali halisi ya mambo yanavyoendeshwa TZ.

  Na nyinyi ndo mnatakiwa kuwa kitovu cha kuleta mabadiliko,na pale mnaposhindwa kufanya hivyo ndipo linapokuja suala la wasomi wa siku hizi ni wa kukariri.

  Kiukweli inaniuma sana jinsi mnavyosoma kwa tabu na wakati mwingine kushindwa kabisa kwa kukosa mikopo kwa kisingizio hakuna pesa,hapa ndo ninawapa changamoto wana vyuo wote je ni kweli hakuna pesa nchi hii.

  Nani anajua gharama zilizoingiwa na serikali kwenye sherehe ya maazimisho ya miaka 50 ya uhuru wa kijinga na umasikini?je hamja sikia yaliyotokea huko TCRA watu 2 wamesomeshwa kwa bilioni mbili,na je hizo hela za kutalii kwa JK zinatoka wapi?

  Anyway ni mengi nanyi mnayajua.

  Unganeni, mshikamane, muwe na umoja wa vyuo vyote mnaweza kulitatua jambo hili na muwe na point za kuiuliza serikali kupitia ufujaji wa fedha inaoufanya kisha inasema hakuna hela za kuwakopesha.
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Tuongezeeni udsm nguvu vijana,hasa nyie wana udom,sua na aru,najua huko ndo kuna watoto wa walala hoi wengi.over
   
 16. Z

  Zidy Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  yan kama mimi rum yetu wanne wote boomless..tunahasira
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  We tried in 2009,boom kwa wanasayans likawa miamia,n0w tumeacha athari,sasa endeleeni!
   
 18. S

  Sngs Senior Member

  #18
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huna akili !!
   
 19. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,482
  Likes Received: 10,712
  Trophy Points: 280
  unahamasisha mgomo halafu unafanya kosa kama hapo kwenye red!!!
  nakushauri wewe na wenzako wa mwaka wa tatu muanzishe mfuko wa kusomesha wadogo zenu,kama mwaka watatu katika fani zote na vyuo vyote nchini wakichangia huu mfuko mtaweza kusomesha japo mwanafunzi mmoja na baada ya miaka mitano mtaweza kusomesha wanafunzi 30.ili mfuko uwe endelevu basi wanaokopeshwa watarejesha kwa riba nafuu.tuache kufikiria maandamano kila siku tuchangamshe vichwa hasa sisi wasomi.maandamano tuwaachie wamachinga na wanaappolo.
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Gomeni muone! FFU wanajipanga kwa ajili ya yeyote anayetaka kuvunja amani.
   
Loading...