Muslim kuwagombanisha NI rahisi sn, wape silaha then watofautishe kwenye interest....kisha mwagia petrol kizibo Tu...kaa pembeni vuta sigara yako angalia game
Me natafuta hii nyimbo ya zilipendwa nakumbuka baadhi ya mashairi..... nakutafuta Dar es salaam nzima sikuoni wapi wewe ulipo....kosa gani nililofanya kwako..... sheri wangu mama nakuomba unihurumieee....
Hii nyimbo natafuta naomba mnisaidie inaimbwa.... nakutafuta Dar es salaam nzima sikuoni wapi wewe ulipo....kosa gani nililofanya kwako.... Sheri wangu mama nakuomba unihurumie.....
Hii nchi ina ujinga sn , Yani tangia asubuh Hadi jion NI mpira, mpira, mpira na mahubiri ya ajabu kuwapa watu ujinga na kuwapiga pesa zai, watawala wanalijua Hili so wanaenjoy jinsi tunapofocus kwenye ujinga badala ya mambo yenye tija......unatengenezewa umasikini ili uamini kwenye miujiza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.