ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

1990maquis.jpg
maquishorns.jpg

View: https://m.youtube.com/watch?v=g4shsOtmofQ
Maquis in 1990 L to R: Burhan Adinan (2nd solo), Toto Ilunga (trumpet), Dekula Kahanga (solo guitar) (courtesy: Dekula Kahanga); RIGHT SIDE: Shunga wa Shinga (bass), Chinyama Chiaza (Chichi) & Chibangu Katay (Paul) tenor saxes (courtesy: Bariki Ngowo)

Personnel:
Vocals: Tshimanga Assosa / Mutombo Lufungala / Mukumbule Lolembo / Issa Nundu / Mbuya Makonga (bandleader) / Kasongo Mpinda / Kasaloo Kyanga / Kiniki Kieto / Kabeya Badu / Kapeya Vivi
Lead Guitars: Nguza Mbangu "Viking" (bandleader) / Ilunga Lubaba / Dekula Kahanga "Vumbi"
Second lead guitar: Mbwana Suleiman / Mulengo Kalonji / Samba wa Mikalai / Nawayi Kabwila
Rhythm guitar: William Maselenge
Bass: Mukumbule Lolengo / Mutombo Sozy / Yusuf Kalanga / Juma Mohamed
Drums: Seif Seid / Sidi Morris
Tumba: Kaaumba Kalemba / Mpoyo Kalenga / Kayembe Ndalambu / Ilunga Ngoie / Kalongo Ngenda / Ngoie Mubenga
Trumpets: Betu Kankonde Abdallah / Salum Nyemba / Tshibangu Katayi / Mafumo Bliali / Hatibu Iteyiteyi
Sax: Mbuya Makonga
Organ: Mguza Mbangu / Tshimanga
 
Jamhuri Jazz - Shingo ya Upanga (Video version)


View: https://m.youtube.com/watch?v=v86UoW7zq18
Jamhuri Jazz makaazi mjini Tanga kwa jina maarufu la wanyama wakali na kibao kilichowabamba wazee waliokuwapo enzi hizo hadi kutupa simulizi za burudani walizopitia.

Historia :

Bendi ya Jamhuri Jazz ilianza mwishoni mwa miaka ya 1950 huko Tanga, Tanzania, ingawa jina lake la awali lilikuwa Bendi ya Nyamwezi Jazz. Jina hili la awali lilionyesha kabila la Nyamwezi ambalo wanachama wengi au familia zao walikuwa wametoka huko Tabora kufanya kazi Tanga.

Uundaji wa ala za muziki za mapema za bendi hiyo ulikuwa rahisi kiasi, ukiwa na gitaa mbili tu za sanduku, banjo, na klarinet. Hata hivyo, kufikia katikati ya miaka ya 1950 au karibu 1966, serikali ya Tanzania iliamuru mabadiliko ya jina kutokana na wasiwasi kuhusu ukabila unaohusishwa na "Nyamwezi." Kwa hivyo, kikundi hicho kilikubali jina Jamhuri Jazz Band, huku "Jamhuri" ikiwa neno la Kiswahili likimaanisha "Jamhuri."

Bendi hiyo ilipata umaarufu kote nchini na ilikuwa kiungo muhimu katika ulimwengu wa muziki wa Afrika Mashariki, ikitumbuiza mara kwa mara Mombasa, Kenya, pamoja na Mkoa wa Tanga. Jamhuri Jazz ilichukua jukumu muhimu katika kuitangaza sauti ya Rumba ya Kongo kote Afrika Mashariki mwanzoni mwa miaka ya 1970.

Bendi hiyo ilikuwa na wanamuziki nguli tajwa mashuhuri kwa miaka mingi, wakiwemo wanandugu Wilson Peter Kinyonga na George Peter Kinyonga, ambao walijiunga na kikundi hicho mwishoni mwa miaka ya 1960 kama waimbaji, wapiga gitaa, na watunzi. Ndugu hawa baadaye waliondoka Jamhuri Jazz mnamo Desemba 1970 na kuunda Bendi ya Arusha Jazz, ambayo hatimaye ilibadilika na kuwa bendi yenye ushawishi mkubwa ya Afrika Mashariki, Simba Wanyika, kikundi kilichohusika na nyimbo nyingi katika ulimwengu wa muziki wa Kenya.

Bendi ya Jamhuri Jazz ilisimamiwa na kufadhiliwa na Joseph Bagabuje, na pia waliwashirikisha wanamuziki wengine muhimu kama John Kijiko.

Source : The Jamhuri Jazz Band
 
Persil Telewa wa Globe Traktion katika kikao cha kipekee na malkia maarufu wa rhumba wa Congo DR , Mbilia Bel. Pata hadithi usizozijua za kina za muziki wake usio chujika wala kusaulika, nyimbo zake za kuvutia ni zipi, maisha ya familia, na uhusiano wake usiosahaulika na Tabuley

View: https://m.youtube.com/watch?v=lYyQogJqLoc
Persil Telewa on Globe Traktion for an exclusive sit-down with the legendary Congolese rhumba queen, Mbilia Bel. Discover the untold stories behind her timeless music, her groundbreaking career, family life, and her unforgettable relationship with Tabuley.
 
16 April 2025

EXCLUSIVE INTERVIEW WITH KANKU KELLY, HOSTED BY PAUL O J


View: https://m.youtube.com/watch?v=Xa1AyAYO4wI

Nkashama Kanku Kelly (20 Januari, 1958) ni mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka jimbo la Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - Tanzania.

Kanku anafahamika zaidi kwa kuwa miongoni wapigaji mashuhuri wa trampeti mwenye historia ya ndefu katika muziki - hasa kwa kushirikiana Fauvette band ya kin Ndala Kasheba Lubumbashi na baadaye Tanzania jijini Dar es Salaam mwaka 1977 kujiunga na Maquis du Zaire ikiyosheheni wanamuziki nguli kina King Kikii n.k kisha 1980 Safari Sounds Masantula, Orch. Makassy band , 1982 Kenya Virunga band ya Sam Mapangala, Vundumuna band ukumbi wa Carnival jijini Nairobi kisha Vundumuna ikiyojichimbia Japan Tokyo Pigapiga club na ikarudi Kenya kisha kufukuzwa kutokana na wivu wa wanamuziki wazawa wa Kenya ikabidi kurudi Tanzania na kuwa mwanzilishi wa Kilimanjaro Connection Band ya Tanzania .
Source : 80's Vibe Media

Kilimanjaro Connection Band walipata pia mikataba mingi nje ya Tanzania ikiwemo Japan, Singapore, Cambodia na Malaysia kupiga miziki ukumbi maarufu tajwa wa South East Asia wa RUM JUNGLE wa jijini Kuala Lumpur - Malaysia ambapo walipendwa ....august 2011 video wakipiga live band hapa chini :

View: https://m.youtube.com/watch?v=-FATZyI6M38
 
16 May 2026

Fresh Jumbe and The Samuraiz - Majivuno Official Video


View: https://m.youtube.com/watch?v=qMlLX9TsjJE
mmoja wa wanamuziki mahiri wa Tanzania kupitia muziki wa Dansi Fresh Jumbe, ambaye amekuwa akiishi nchini Japan kwa muda mrefu kuendeleza muziki wa dansi wa kiAfrika .

FreshJumbe amefanya harakati za muziki kwa miaka 45 sasa...Kanda Bongoman ...Remmy Ongala...Cosmas Chidumule .... manju wapiga ngoma wa kienyeji urithi kutoka kwa babu
  • 1982 Miziki Tanga kukumbana na tour ya Marijani
  • 1983 Orch. Dar international na jabali la muziki Marijani Rajabu
  • 1983 JUWATA msondo
  • Safari Sound band ndekule DSM
  • BICCO Stars band bendi ya mahoteli nyimbo za kimataifa za kiCongo, South Africa, Caribbean, kigeni n.k Zanzibar na Dodoma hotel
  • London, Tokyo, Nairobi mipango mingi kuliko Tanzania
  • Prof. Abu Omar na Marimba band Group Nairobi Kenya
  • RamaSax mtanzania saxophonist wa kimataifa
  • FreshJumbe ni Producer, composer, singer, bassist, congaman
  • CHAMUDATA maudhui ujumbe rahisi unaoeleweka
 
Angelina - Caiphus Semenya


View: https://m.youtube.com/watch?v=2KTexoILtIs

18 May 2026

Dorkay House and the Union of Southern African Artists

Episode 28 - Caiphus Semenya : Music In The Air

View: https://m.youtube.com/watch?v=0HkjQOon6uk
In conversation with Ntate Caiphus Semenya on Music, Quincy Jones, Composition and Lion King.Caiphus Semenya is a South African composer and musician. As a young musician he sang in the cast of the jazz musical King Kong.

After moving to the United States in the 1960s he had a successful career as a composer and arranger, including work on the scores for Roots (1977) and The Color Purple (1985).Chapters:

00:00:00 Opening

00:01:36 Dorkay House and the Union of Southern African Artists00:05:25 King Kong: The Birth of a Jazz Opera

00:07:30 Todd Matshikiza and the Sound of King Kong

00:09:24 From Grand Choirs to Quartets: South Africa's Musical Lineage

00:17:31 What Musical Theater Does to a Musician

00:23:25 From Performer to Composer: Writing for Miriam Makeba and Hugh Masekela

00:31:24 The Quincy Jones Call: Composing the Score for Roots

00:38:19 Challenging the Pentatonic Myth

00:45:02 Film Scoring, Perfectionism, and Music as Mathematics

00:54:18 Why Composition Always Came First

00:57:28 Music In The Air

01:02:00 Victor Mfazelwa: The Mentor Who Recognised the Gift

1:05:30 Gibson Kente and Manana and the Jazz Prophets

01:15:19 Church Music, Community, and Songs That Reach the Soul

01:22:45 The Soweto Music Academy

1:30:42 A State That Fails Its Artists

Source : African Renaissance Podcast
 
Naomba jina la huu wimbo mwimbaji ni nani?
 

Attachments

  • a9423aa6215b49eb94e750e7052d8b22..mp4
    6.7 MB
Back
Top Bottom