Recent content by zeronill

  1. zeronill

    Huawei kurusha satelaiti mbili za 6G mwezi Julai

    Sure mzee uko sahihi huyo informer hayuko uo to date
  2. zeronill

    Huawei kurusha satelaiti mbili za 6G mwezi Julai

    Achan na na mambo ya pind bro tuongelee vitu practical ushawahi download anything ikaandika hyo speed ya hata 30mbps starlink last yeae wame achieve 100mbps UK!
  3. zeronill

    Huawei kurusha satelaiti mbili za 6G mwezi Julai

    Tatzo wap nchi kama sk siyo shida
  4. zeronill

    Huawei kurusha satelaiti mbili za 6G mwezi Julai

    Acha bas bro star link wanatumia sattelite na bael speed yao iko faster comlare to hyo 4g yako unayl ongelewa kama ulifundishwa darasan haimaanishi dunia itaabk kama ilivyo andikwa kaanagalia mfano neurolink project zake zipoje utakuja gundua ukimwambia mtu atabisha kulinga na alivyo kalilishwa
  5. zeronill

    Mambo yakufanya Mwanaume unapokuwa likizo ya Uzazi (Paternity Leave)

    Mmh kumbe kuna likizo ya uzazi kwa mwanaume?! Inakuwa ya muda gani na kipindi gani cha uzaz?! Ni yenye malipo?!
  6. zeronill

    Muhimbili na Mloganzila zafunga mashine za kujifukiza. Kupata huduma hiyo ni Tsh. 5,000 tu

    Unaengelea miaka gan hyo mkuu?! Ujue zama zmebadilika hata dhaman watu walikua wana jistili tuu sehemu za siri then wana ingia mtaani fanya hvo sahv uone kama hautaonekana kichaa the inshu zama zilipita na hyo practice ilionekama siyo poa sasa sis tunataka kurud hukooo😂😂😂
  7. zeronill

    BAKWATA: Hatujapokea taarifa yoyote kuhusu kwenda ibada ya Hijja ukiwa na chanjo ya Corona

    Sasa kwa nn msiulize kujua hzo taarifa zinabukwel gan kama zinaskikika siyo kusubiria tena wakutumie ujumbe watu wana mambo meng na hii corona wanajua kuba waelewa washa elewa japo hawajui kama kuna ngombe tz bado hazijui dunia iko katika hali gan
  8. zeronill

    BAKWATA: Hatujapokea taarifa yoyote kuhusu kwenda ibada ya Hijja ukiwa na chanjo ya Corona

    Nop but unaza kuambukiza ambae hana chanja yani alie chanjwa anaeza trmbea na hao virus corona ila wasimletee yeye ogonjwa but akaweza kusambaza hao virus kwa wengne
  9. zeronill

    Muhimbili na Mloganzila zafunga mashine za kujifukiza. Kupata huduma hiyo ni Tsh. 5,000 tu

    And mtu inabd ajifukize mara ngap kila baada ya mda gan ile iwe effective maana unaeza kuta inabd kila siku sasa ni wangap wataweza ku affird 5k kila siku kisa kujfukiza plus naul za kumfikisha huko
  10. zeronill

    TCRA kudhibiti utoaji huduma za vifurushi kwa kampuni za simu

    Zantel sisi huku 1500 tunapata 1.5GB na dk 160 mitandao yote na sm 500 toka mwaka juz had leo hawajawah badilisha kifurushi
  11. zeronill

    Viongozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kosa la kumsema vibaya Rais Magufuli

    Duh huyu bwana mbona sasa hatoi zawad kwa wanao msema vzyr huko mitandaoni?! Teye amekua nan kila mtu am support kwa kila maamuz yake yesu mwenyewe alikuatana na changamoto
  12. zeronill

    TCRA yazipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni 6 za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma

    A Cha bas bro ya kwel haya mbona africa nzima sis ndo tutakua na cheap service au umesikia vbaya
  13. zeronill

    Kuendelea kushuka kwa Utalii: Serikali yaombwa kuangalia upya tozo zilizowekwa kwenye Hifadhi

    Mara corona haija athiri uchumi mara watalii wanaongezeka mara hatuna corona sasa na hii imetokea wap kama hatuna corona wala madhara yake mbona kama wana nichanganya
  14. zeronill

    Afrika Kusini wasitisha utoaji wa chanjo ya Astra Zaneca

    Acha zako za ebora zilitumia mika mingap kutengenezwa je haizikufanyabkaz je watu hawakutumia!? Siyo kila dawa itatumia mda mrefu kutengenezwa! And angalia by the time of technology huwez fananaisha kioind cha hzo polio na sasa hv so cool down hao wameongelea variant za soith africa wala...
Back
Top Bottom