Recent content by Zero_zeerah

  1. Zero_zeerah

    Jembe ni Jembe na sakata la Hamornize kuhama WCB

    Twali 'B alitoka Generation fm Mbeya
  2. Zero_zeerah

    Nauza simu aina ya Samsung S6

    Mnapatikana maeneo gan Dsm?
  3. Zero_zeerah

    Epuka kutumia barua pepe kama hizi

    Mchiziboti@gmail.com[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. Zero_zeerah

    Tuambie ni ipi chorus bora zaidi ya wakati wote kwenye ulimwengu wa muziki?

    Mr. Hudson forever young ya j'z ni hatari
  5. Zero_zeerah

    Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Nakumbuka miaka ya juzijuzi tu nilikua nashinda Uyole stand, Hood ya Tunduma na Sabco ya Kyela ilikua kawaida kupita Uyole saa nane unusu! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Zero_zeerah

    Bia Bingwa

    Hii mambo ndo habari ya mjini huku Southern highlands kutokakana na uchumi wa sasa... Hebu toa neno lolote kuhusu hii mambo
  7. Zero_zeerah

    Sababu tano kwa nini marais wenye msimamo na wazalendo wataendelea kutoka kanda ya ziwa.

    Hakuna kanda tajiri hapa nchini zaid ya nyanda za juu kusini... Unaijua thamani ya Uranium wewe?
  8. Zero_zeerah

    Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

    Kuna kitabu kinaitwa MBUTOLWE MWANA WA UMMA kiliandikwa na Murray William Kanyama Chiume-1973 nlikua nakipenda sana
  9. Zero_zeerah

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Ha ha ha haaaa
Back
Top Bottom