Recent content by zero 5

  1. zero 5

    JamiiForums Tanzania RIP

    Nani sasa?
  2. zero 5

    JamiiForums Tanzania Kazi ya nywele, kucha, kivuli, damu ya hedhi na nguo za ndani katika mambo ya uganga, uchawi na ushirikina!

    Nafikilia tu itakuaje siku tukifika mbinguni halafu wakati wa hukumu mungu anatuwekea likioo likubwa halafu kila mmoja matendo yake tunayaona.
  3. zero 5

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

    Wakati mwingine hata hiyo hela hamna ila basi tu
  4. zero 5

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

    Kutosha kwake kunategemea na biashara unayotaka kuifanya"ila usisahau kuandaa hela nyingine kama hiyo kwaajili ya kukombolea mzigo wako kwa kaisari wa tz maana hapa hutapita mpka ulipe senti yako ya mwisho.
  5. zero 5

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

    Na baadhi yenu wanawake hampigi mswaki vizuri mnapiga haraka haraka kuwahi kwenye kioo kujipaka makeup mnatupashida wenzenu mnapotubusu harufu kali mpka mizuka inapotea mtu unakua kama unakiwanda cha kusindika ngozi bwana.
  6. zero 5

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

    Zinatoka zenyewe automatic
  7. zero 5

    JamiiForums Tanzania List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

    We duniani hubaki na mbinguni huendi tafuta sehemu nyingine
  8. zero 5

    JamiiForums Tanzania List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

    Haya bwana
  9. zero 5

    JamiiForums Tanzania List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

    Haaaaa kunasehemu nimewekeza kausafiri kangu nami nasubili za korosho nikamalizie na korosho zenye kama zinamkosi >> kichefuchef
  10. zero 5

    JamiiForums Tanzania List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

    Namsikiaga nyie watoto mnanichafulia gari leo siwabebi " duh najiongeza nakunja suruali nasepa
  11. zero 5

    JamiiForums Tanzania List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

    Ntakusaidi kukuvuta mpka tumshinde shetani
  12. zero 5

    JamiiForums Tanzania List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

    Mi naenda sina tatizo tena wanaweza kunipa rist ya majina ya wataoingia niwe nahakiki. Ila huyu jirani jina lake lazima ntafutilia mabali
  13. zero 5

    JamiiForums Tanzania List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

    Jirani yangu mimi hapa nyumbani tunafanya kazi mtaa mmoj huko mjini ye anagari basi kila asubuhi anajinunisha ili nisimwombe lifti huyu haendi mbinguni. Na siku nikikuta yupo mbinguni ntagombana na mrinzi wa getini
  14. zero 5

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Msumbiji Kunani?

    Madawa ya kulevya[emoji23][emoji23][emoji23]akiambiwa akaonyeshe shamba?
Back
Top Bottom