Siku hizi Msumbiji Kunani?

Siku hizi Msumbiji Kunani?

Anaitafute kwa muda wake nimpe simulizi yaliyotukuta huko.

Mabaya yanawakuta kwa sababu mmeisahau mizimu yenu. Mimi sijaisahau kama wewe mkuu siwezi kukutwa na baya lolote in the name of Jesus Christ Of Nazareth. AMEN!
 
Hizo propaganda tu mkuu hakuna kitu kama hicho
LIKUD siyo propaganda mzee wangu mi nilikutana nayo ana kwa ana asikwambie mtu. Una habari adi majeshi yetu yalitua mpani?
 
Mabaya yanawakuta kwa sababu mmeisahau mizimu yenu. Mimi sijaisahau kama wewe mkuu siwezi kukutwa na baya lolote in the name of Jesus Christ Of Nazareth. AMEN!
Hahaha!!! lbda useme mizimu yalisahaulika lkn c propaganda.
 
Kuna jamaa alikuwa ananipigia stori ya yaliyomkuta moz kwenye ile operation ilikuwa kifo

Anasema hakufai polisi wa kule zaidi ya policcm
 
Sawa. Labda pamebadilika.

Halafu mimi nilikuwa naongea na watu wa migodini sana, labda mambo hayo yapo kwenye mawe zaidi.
Mi Niko mangaka jirani na mtambaswala "kwenye daraja LA umoja" kifupi fursa ni nyingi ingawa security kwa wageni ni ndogo mno kudhulumiwa, kuibiwa hata kuuwawa in kitu cha kawaida sana. Ingawa wanaojiatach na wenyeji kidogo wana nafuu.
 
Asante kwa kutupa habari kutoka sehemu halisi mkuu.

Na mini ndivyo nilivyoelewa hivyo.
 
Mabaya yanawakuta kwa sababu mmeisahau mizimu yenu. Mimi sijaisahau kama wewe mkuu siwezi kukutwa na baya lolote in the name of Jesus Christ Of Nazareth. AMEN!
Jesus Christ na mizimu yenu wapi na wapi sasa?
 
Mi Niko mangaka jirani na mtambaswala "kwenye daraja LA umoja" kifupi fursa ni nyingi ingawa security kwa wageni ni ndogo mno kudhulumiwa, kuibiwa hata kuuwawa in kitu cha kawaida sana. Ingawa wanaojiatach na wenyeji kidogo wana nafuu.
Hapo mtamba swala napajuwa msalie mzee pakacha yupo upande wa msumbiji karibu na Daraja la umoja
 
Mabaya yanawakuta kwa sababu mmeisahau mizimu yenu. Mimi sijaisahau kama wewe mkuu siwezi kukutwa na baya lolote in the name of Jesus Christ Of Nazareth. AMEN!
Duhhh!!!!!
Mizimu in the name of Jesus Christ of Nazareth?
 
Katika kuamini pasipo na contradiction
Wote mule mule tu.

Contradiction ni kama mimba.

Ama unayo, ama huna.

Mwanamke hawezi kusema "mimba yangu afadhali nina mimba nusu, mwenzangu ana mimba kamili".
 
Wote mule mule tu.

Contradiction ni kama mimba.

Ama unayo, ama una.

Mwanamke hawezi kusema "mimba yangu afadhali nina mimba nusu, mwenzangu ana mimba kamili".
Mhhhhhhh kwaiyo vyote matatizo tu sasa tuamini nini sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom