Recent content by zema21

  1. zema21

    Ushauri: mchumba wangu hata sielewi....

    Mkuu, pole kwa yote, kubaliana na hali, msamehe, songa mbele na maisha yako.
  2. zema21

    Wabunge 8 na madiwani 2 wa CUF waliofukuzwa, Warudishiwa Uanachama hadi kesi ya Msingi itakapotolewa Uamuzi na Mahakama

    Asubuhi ya leo magazeti kadhaa yameripoti kuwa mahakama imezuia CUF kuwavua uanachama wabunge. Nadhani wengi watakumbuka hili sekeseke! Je nini hatma ya ubunge wao!? Maana Nec iliwateua wengine kuziba nafasi
  3. zema21

    Sababu zinazotupa maumivu baada ya kutendwa

    Japo si rahisi kwa wengi kunielewa
  4. zema21

    Rafiki wa kike anahitajika

    Natafuta rafiki wa kike popote pale. Asizidi miaka 28. Mkristo mwenye hofu ya MUNGU. Awe aghalau na diploma au zaidi. Awe mwembamba, asiwe mfupi. Mbunifu na mwenye mtizamo chanya wa kimaisha. Umri wangu ni miaka 30. Ni mkristo. Ni mrefu rangi yangu maji ya kunde. Ni pm mengine tutafahamiana...
  5. zema21

    Ni umbali gani unatakiwa kuacha kama hifadhi zinapopita nguzo za umeme mkondo mkubwa!?

    Mkuu hapana mlungula wowote, nilienda kununua halmashauri. Walitangaza hivyo vilikuwa vimeshapimwa! Asante mkuu umenijibu vyema
  6. zema21

    Ni umbali gani unatakiwa kuacha kama hifadhi zinapopita nguzo za umeme mkondo mkubwa!?

    Kama kichwa kinavyojieleza, eneo langu lipo mita 22.5 toka ulipo mkondo mkubwa wa umeme, limepimwa na halmashauri hivyo nalipia kodi kila mwaka. Nina mpango wa kuendeleza kiwanja changu lakini nimepata hofu kisije nitokea kinachowatokea waliopo pembezoni mwa Morogoro Road!! Je umbali huu wa...
  7. zema21

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Tunaelezwa kuwa uchumi wa nchi yetu unakuwa kwa kasi kuliko nci zote Afrika mashariki na kati, naomba niupongeze uongozi uliopo madarakani kwa bidii zote, naomba watanzania wenzangu tumuunge mkono Mh Rais wetu kwani amekuwa na uthubutu mkubwa ambao haujawahi kutokea Tanzania tokea enzi za Mwl...
  8. zema21

    BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

    Mara kadhaa nimekuwa nashiriki mchezo huu wa kubahatisha wa BIKO. lakini kinachosikitisha ni kuwa kuna wakati unaweza ukashinda zile zawadi za papo kwa hapo lakn wasikulipe. Pia tatizo lingine ni kuwa unaweza ukacheza hawarudishi msg za tickets Ila fedha unakatwa pia ukiwapigia simu ni nadra...
  9. zema21

    Msaada: Njia Bora ya kufuta namba ya X wangu ( ipo kichwani)

    Maumivu ya kusalitiwa sio mepesi na wala sio kitu chenye tiba, wewe kubaliana na hali halisi kisha jipe muda maumivu yatakuwa yanapungua hatimaye utafika wakati yataisha. Kusahau namba sio kitu kirahisi ila jitahidi usijaribu hata mara moja kumtafuta. Muda pekee ndio utakaokuponya
  10. zema21

    STORI YA KWELI: Nimeamini ARV zimepunguza Umaarufu na Hofu ya UKIMWI...

    Mzee wa Deception tunaomba mchango wako hapa plz
  11. zema21

    Mke wangu ananifanyisha punyeto bila kujijua

    hapa ulikuwa unatafuta mpnz Natafuta mpenzi wa kuanza nae maisha
  12. zema21

    Nini kinafanya wanaume kuguna mpaka kulia wakati wa kugegeda?

    nipe offer na mm nione kama ni kweli walilia na nn kiliwafanya wakalia!!
  13. zema21

    Tangu niachwe na mpenzi wangu nimeshindwa kuwa na upendo na mpenzi mwingine

    dah, naelewa vizuri what you feel right now, asee unapitia kipindi kigumu mno lakn usirudi nyuma songa mbele, usitake kurudi jipe moyo mkuu songa mbele time is the healer!
  14. zema21

    Nimekosa mwanaume 'serious'

    who are you by the way? una nn cha maana haswa? Eti "hawana sifa ninazozipenda" una nn kipya labda?
  15. zema21

    Wadada punguzeni tamaa

    wewe ndio unawaza kitoto!! Si lazima uwepo hapa MMU
Back
Top Bottom