Recent content by Zegenyela

  1. Z

    Binti wa miaka 15 ateseka kwa kuvunjwa mguu na gari ya BOT SU36797

    Du poleni sana. Nimewahi kukutana na kesi kama hiyo. Bima hawalipi kabla. Mlalamikaji atalipia gharama ndo anaprocess refund na Bima. Kwa kesi yangu ofisi ililipia gharama zote za mtoto. Maana ajali ilitokea kijijini na familia ya mtoto walikuwa ktkt hali duni. Nadhani waliosababisha ajali...
  2. Z

    Waliosoma Tosamaganga High School

    Tuliosoma miaka ya 90 wakati wa marehemu dudu nakumbuka sana top layer
  3. Z

    Kilichonipata leo, nimekoma!!

    Unagonga kavukavu! Kaz kwel kwel
  4. Z

    Dada yangu anatishia kujiua, nishaurini tafadhari

    Wahisha kwa maombi huyo!
  5. Z

    Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Supu kongoro x 3 kwa wiki mwezi 1 tu. Urudi kutupa mrejesho
  6. Z

    Kwanini wanawake wanaamini kuwa mwanaume mwenye gari ndio sahihi?

    Hivi mtu anasafiri mpaka huko ulitegemea nn. Ulitaka akwambie nakuja mbeya kuzini? By implication mtu unayemwita mpenzi wako hawezi kuja mbeya halafu ukamletea mapozi, imekula kwako hiyo. Ungemwambia kabisa sex ni mpaka ndoa au mpaka mtakapoongea, sijui ulitaka muongee nn sasa, wanaume wa siku...
  7. Z

    Nikinywa Pombe huwa nampenda sana mke wangu

    Safi!sasa itabidi uwe unagonga ugimbi daily kudumisha ndoa
  8. Z

    Jamaa amekataa kwenda kumuona mke wake hospitali kisa kajifungua mtoto wa kike

    Jamani! Wao wamejikusanya ndugu wanajadili ishu ya kifamilia,tena bila shaka walijitenga pembeni kwenye meza yao,we unayaleta huku!si sawa kabisa!ungekuwa wewe umefanyiwa hivyo ungejisikiaje?
  9. Z

    Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

    Kwa sasa ni mkali wa selfii. Hahaa!
  10. Z

    Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    Utakuwa unalipwa milioni 30 kwa mwezi
  11. Z

    Najuta, huyu binti anataka kunifunga

    Ulipiga bila ndom dah kalne hii!
  12. Z

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Nyumba ya ng'ombe kwa jirani. Usiku around sa 2 siku hiyo umeme ulikayika. Ile naanza mgegedo mzee mwenye nyumba kaingia na kibatali kaanza kukamua ng'ombe. Hakuweza kutuona tulikiwa kwenye kona ya chumba kwenye kigiza tukiwa tumeingia kwenye mzigo wa nyasi. Ilibidi tusubiri mpaka mzee amalize...
  13. Z

    Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

    Kwa hiyo unatakaje?
Back
Top Bottom