Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,813
Hee! Imeletwa tena!!!Hii story kama nilishawah kuiona humu ndan...
Hee! Imeletwa tena!!!Hii story kama nilishawah kuiona humu ndan...
Kwa kuwa ulimruhusu shetani akupitie jiandae na maisha ya jela,wazima humu? Kuna binti tulikutana nae kwenye mitandao ya kijamii tukiwa kama marafiki wa kawaida hatukuwahi kuingiziana mambo ya kimapenzi siku niliposafiri kikazi nilikua mkoani kwao kwa kua alikua home kwao alikuja mjini tukajuana tukapiga stori sana akaniambia alivyomaliza form 4 alifaulu ila shule aliyopelekwa hakuipenda kwa kua alikua anapatwa patwa na uza uza kwa hiyo yupo tuu home tulipiga stori nyingi nikamwacha aende home... baada ya siku mbili alikuja tena kwa pozi na mavazi aliyokuja nayo kiukweli nilipata wakati mgumu sana shetani akanipitia na tamaa ikanishika nikajaribu kurusha ndoano ikanasa tukavunja amri ya sita... sasa akanogewa akawa anaenda na anarudi baada ya siku mbili kiukweli yule binti alinipa stori ya aliyokua anafanya na x wake apo shetani ndiyo akatuingia nikawa nakula tope.. sasa niliporudi Dar baadae akaniambia amenasa ujauzito na hati... iliniweka katika wakati mgumu maana aninitisha Ana namba za wife na atamwambia.. badae aliingia fb akaanza kuwaambia dada zangu na kaka mpaka sasa wazazi pia wanajua kiukweli imeniweka katika wakati mgumu sana... sasa hii kali kuniambia kuwa nikae nikijua saa yoyote nitakamatwa na police kwa kua ndugu zake wamesema kua ni mwanafunzi sasa najiuliza huyu miaka 20 na siyo kwamba alikua shule maybe form 3 or 4m 4, je apa wandugu kweli katanifunga? na je nifanyeje maana nipo njia panda mchepuko sirudii tena na wala sitaki hivi videm vya kwenye social network kabisa... huyu shetani alinipitia tuu
kuzimu au segerea. hahahaUpo njia panda kuelekea wapi mkuu..
Upo njia panda kuelekea wapi mkuu..
Shetani alikuingia sasa unakula matope kwahio umekuwa nguruwe! Hautafungwa mkuu lakini tutakufanya kiti motobinti alinipa stori ya aliyokua anafanya na x wake apo shetani ndiyo akatuingia nikawa nakula tope..
shetan alikupitia ili muende wapi?wazima humu? Kuna binti tulikutana nae kwenye mitandao ya kijamii tukiwa kama marafiki wa kawaida hatukuwahi kuingiziana mambo ya kimapenzi siku niliposafiri kikazi nilikua mkoani kwao kwa kua alikua home kwao alikuja mjini tukajuana tukapiga stori sana akaniambia alivyomaliza form 4 alifaulu ila shule aliyopelekwa hakuipenda kwa kua alikua anapatwa patwa na uza uza kwa hiyo yupo tuu home tulipiga stori nyingi nikamwacha aende home... baada ya siku mbili alikuja tena kwa pozi na mavazi aliyokuja nayo kiukweli nilipata wakati mgumu sana shetani akanipitia na tamaa ikanishika nikajaribu kurusha ndoano ikanasa tukavunja amri ya sita... sasa akanogewa akawa anaenda na anarudi baada ya siku mbili kiukweli yule binti alinipa stori ya aliyokua anafanya na x wake apo shetani ndiyo akatuingia nikawa nakula tope.. sasa niliporudi Dar baadae akaniambia amenasa ujauzito na hati... iliniweka katika wakati mgumu maana aninitisha Ana namba za wife na atamwambia.. badae aliingia fb akaanza kuwaambia dada zangu na kaka mpaka sasa wazazi pia wanajua kiukweli imeniweka katika wakati mgumu sana... sasa hii kali kuniambia kuwa nikae nikijua saa yoyote nitakamatwa na police kwa kua ndugu zake wamesema kua ni mwanafunzi sasa najiuliza huyu miaka 20 na siyo kwamba alikua shule maybe form 3 or 4m 4, je apa wandugu kweli katanifunga? na je nifanyeje maana nipo njia panda mchepuko sirudii tena na wala sitaki hivi videm vya kwenye social network kabisa... huyu shetani alinipitia tuu
Ndio nashangaa mkuuHee! Imeletwa tena!!!


Yah ni kwel mkuu...wanasahau wanatuma wapi hizi story hadi wanarudia
ni story iliyorudiwa hadi nukta zake kutoka humu humu jukwaani...aliyei`copy anadhani sisi wote ni wageni humu,hovyo kweli..Hii story kama nilishawah kuiona humu ndan...
Hapo shetani hasahau hata kidogo mkuuUsihofu, shetani atawapitia tu watasahau.
Hahaha
Hapo shetani hasahau hata kidogo mkuu