Recent content by Zegenyege

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ipi ni mechi yako bora ya soka?

    Match yangu bora ni Ile ya BRAZIL vS GERMANY kombe la Dunia 2002 huku DE LEMA kule Oliver khan...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais, ajali za barabarani na ujambazi hautakuwepo kamwe

    Bila kusahau Mashoga na wasaganaji watapigwa risasi hadharani... Tutaandaa siku rasmi kama Taifa ya kusoma vitabu vitakatifu...!
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Katika hili, jiji la Mwanza halina budi kujifunza kwa Bunda

    Umelipwa na Mkangara kuja kusifia utumbo wake hapa yaani BUNDA ilingane na MWANZA???
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Tuliho kisangwa[emoji16][emoji16]
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    Billionaires club kitambo sana tulienda kuangalia kwa jirani yetu part two yule maza house akatunawisha miguu kwanza kabla ya kuingia ili tusichafue nyumba...!
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Shukrani mkuu kinaonyesha lakini kinakuwa kinaonyesha marangi rangi ambayo wakati mwingine hukata na kuonyesha vizuri bila shida.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Nina tv yangu lg inch 55 smart Ina shida ya kioo,kama kuna mtu anaweza kunisaidia naomba tuwasiliane
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Katika mshahara wa million moja na nusu nimeongezewa 30000 tu

    Mama kapokea nchi hata mshahara mlikuwa hamjui unaongezeka mwaka gani Kawaongeza lakini pia kuna changamoto ya vita ya Russia,corona,mazoezi muhimu kitaifa kama Sensa,na makazi yote yanatumia pesa lakini Ka Jitahidi kuongeza hata hicho kidogo.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta

    Hatareee sana
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu yanga Hapana mzeee sina hakika na ubora wa kikosi chake kwa kesho maana tar 2 yupo na wagosi nafikili atapumzisha watu ili kuepuka majeruhiii
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda: Kati ya ualimu na ufundi nichague kipi?

    Uko sahihi mkuu
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda: Kati ya ualimu na ufundi nichague kipi?

    Moja kati ya mawazo yanayotufanya waafrika Tuludi nyuma ni kuamini ili maisha yaendeleee ni lazima uwe serikaliiii.. Mie huwa naona serikalini ni kupoteza muda na kusubili kifo tyu hakuna maisha huko
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Kikokotoo

Back
Top Bottom