Recent content by zegamba180

  1. zegamba180

    JamiiForums Tanzania Kutoa na kupokea, ni moja ya sheria ya ulimwengu

    Somo zuri
  2. zegamba180

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

    Hii ndio habari ya mjini sasa
  3. zegamba180

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi ku-share mpenzi mmoja na rafiki yako?

    Mimi nimewahi ila bila kujua. Ila demu alikuwa anajua
  4. zegamba180

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki mmoja wa kike ni sawa na marafiki watano wa kiume/zaidi

    Nakubaliana na mleta mada. Binafsi nina rafiki zangu wawili wakike. Tunasaidiana sana kwa kweli, ila washikaji sound sana. Wakati fulan tulikuwa 7 tukipiga maji, wakike alikuwa mmoja(rafiki yangu). Ghafla nikapokea simu yenye hitaji la pesa la haraka la kiasi cha 300,000. Jamaa wote watano...
  5. zegamba180

    JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Kitila Mkumbo achukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kumteua kugombea Ubunge Ubungo

    Waziri mtarajiwa wa maji huyo. Muda utajibu
  6. zegamba180

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa matajiri wengi ni wapweke. Ni rahisi kuwa nao kama Marafii/Wapenzi

    Daah kuna kipindi kabla mdingi hajafariki, tulikuwa tunaishi upanga. Geti kali kinoma, yaah kucheza na wenzetu hadi jmoc au jpili siku ambazo hatukuwa tukienda xul tena hapo tulikuwa tunaenda Viwanja vya Gymkhana. Maisha yale sitaki wanangu wayaishi
  7. zegamba180

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nahisi nimesalitiwa

    Unashindwa kumuacha mpz? We jamaa simama kama mwanaume piga chini huyo
  8. zegamba180

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Duuh kuna watu hawajali kabisa afya zao. Hongeren kwa moyo wa ujasiri
  9. zegamba180

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada poa wa Buguruni na Sokota hawaogopi Corona, biashara inaendelea kama kawaida

    Biashara bila wateja inakufa. Toa ushauri kwa wateja wao kutokwenda sokoni
  10. zegamba180

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza game nakuliweka Play Store

    Mkuu Graph imetosha mdogo ako amekiri kikubwa hapo juu. Nikuombe mpe ushirikiano dogo afike mbali. Ila Graph Heshima nyingi kwako. NIkuulize tu kwa faida ya wenzangu; Ninaweza kujifunza programing from zero to 100? kwa kupitia msaada wa tutorial na kilatop changu home?
  11. zegamba180

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza game nakuliweka Play Store

    Developer heshima kwako. Ongeza juhud kaka. Maswali na ubishi uwe ni sehemu ya kukujenga zaidi.
  12. zegamba180

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi amefumania message za mapenzi

    Mwandikie ujumbe wa kumtakia maisha mema huko ktk penzi jipya, na kumshukuru kwa yote. Kisha chuna kama mwezi bila kumpigia wala kutuma msg.
  13. zegamba180

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana ex boyfriend na ex girlfriend kufanya biashara pamoja?

    Binafsi naona ngumu sana
  14. zegamba180

    JamiiForums Tanzania Singida: Hakimu Mfawidhi akamatwa akipokea rushwa

    Huyu hakimu akipatikana na hatia apewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.😀😀😀😀😀😀
Back
Top Bottom