Recent content by Zee_la_nyeti

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Clinton ni mgonjwa masikini

    Mkuu,US ni tofauti na uku kwetu. Kwao Rais ni taasisi inayoshirikiana na taasisi nyingine kuleta maendeleo na kutatua shida za wananchi. Rais hana kazi kubwa za kufanya/kuzunguka ovyo kama uku kwetu.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Principles of science and mathematics pale zinapotumika katika maisha ya kila mara

    "We scientists,we don't believe in blaming but we believe on solving problems by laws and principles zinazotawala katika jambo husika" naomba ulinganishe sakata la Sukari,Bandari na kuficha pesa. Kama hauna kitu cha kuandika bora usihaibishe taaluma yako.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Uingereza nchini Tanzania

    China na USA kazi zao ni kunyonyoa kile ulichonacho.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Nurse!

    Napita kimyakimya.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Collaboration ya Magufuli, Kagame,Kenyatta, na Mseven,

    Hapo nimemuona Kenyeta tu.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wabunge wa CCM wafurahia na kushukuru kurejea kwa UKAWA Bungeni

    Kwahiyo unawabishia wabunge wenu?
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM kuweni macho

    Usitegeme kihiyo atakutetea
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajiondoe kwenye hili la kuhujumu Mameya wa upinzani

    Zile ni ziara za kichama
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuhamia Dar, Naomba ushauri kwa wakazi wa DSM

    Kwa adha ya foleni ya kutoka Tabata ni bora akapange Mbagala au Maeneo ya Kimara.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la mabasi ya mwendokasi, Serikali yetu inahitaji kupongezwa sana

    Pongezi ziende kwa JK kwa kutuletea mradi wa mabasi ya haraka na miradi mingine kama fly over ya TAZARA, na Reli ya Kati. Kula pensheni yako kwa amani Mzee wetu.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la mabasi ya mwendokasi, Serikali yetu inahitaji kupongezwa sana

    JK ndio wakupewa pongezi wa kuomba msaada tujengewe huu mradi.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Davido hana furaha na label yake ya Sony

    Imekuuma sana,je una undugu nae?
  13. Z

    JamiiForums Tanzania My God, jinsi Kenya wanavyotumia fursa inayotokana na hali ya bandari yetu

    Sijui ni nani kakushikia akili yako.
Back
Top Bottom