Polisi hamna jipya small square majungu master parade ndo ucseme, mkikutana uwanja wa damu ni unanga co unaa.. na kutishana msalimie Meja Mtigandi Coplo kashinje na cpl Machumu na Ssgt Omari HQ Coy..!
Cdhani kama kuna atakaebaki wakati mti huo unaongea na kutoka machoz ya damu, any way hv vitu vpo mkuu kule visiwani ukala kuna mawe yanacheza ukiyaimbia so yanatumika kama utalii wa ndani wa jadi..!
Kadiri miaka inavyosonga ndo taratibu znavobadilika mkuu..
coz miaka ya juz kat kama 2014 kipind kama hiki raia wapo either mkoani au wilayan ama wameshaatend vipimo ila naona mwaka huu mchakato umelate haupo "Static"
Ila kwa tetes za kunyampia nyampia mzigo utadondoka kat ya tar 15-20 chek...
Mkuu hatukuisaidia Nchi tuliwasaidia wapigania uhuru "Maliberators" ambao Askari wa kizulu na viongozi wao ni kundi dogo tu la wapambabaji tuliwapa pia hifadhi kwa ajili ya kujipanga na kupiga tizi la kivita ili kusogea frontline kumtokomeza Mkaburu..
Ila co kweli kama tuliisaidia SA as a...
NAWAZA KWA HERUFI
1. Huyo Muumba wa watu wa Tanga co muumba wako mkuu..?
2. Mkuu na we uliwahi kwenda kwenye Baikoko kushuhudia wakicheza Uc** wa Mnyama..? (Haramu Kuona) au umesikia Tetesi..?
3. Anayejua kama adha na ahida zimpatazo Mwanadamu hapa duniani kama ni Adhabu au fundisho ni Maulana...
Mkuu hizo dharau.. mtoa uzi amebainisha wazi kuwa mvua ni kubwa kuwahi kutokea imeleta maafa hata maeneo ya tambarare we unahitaji indelee kunyesha ili watu wapate chakula na ikiendelea kuuwa hicho chakula watakula kuku au..? na Je hilo gari la mwananchi lilipata ajali nalo linaishi mabondeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.