Problem yetu sisi Waafrika (Tanzania ikiwepo) ni kubakia kulalamika tu. Hao viongozi wanaofuja pesa zetu mnawajua. Wakijua mmewagundua, wanawagawia kidogo tu, mnakubali kuwa "machawa" wao hadi mnajibiringiza chini mbele yao. Mtu amekula dola milioni kumi halafu akikupa shilingi milioni mia tano...
Tatizo la sasa kwa vijana ni.moja tu:- Hawakuwahi kufundishwa kwa kina kabisa ili wajue kwamba 1. Ngono SIO mapenzi 2. Wewe mwanaume ujue unapodhani mwanamke atakupenda kwa sababu ya utajiri wako, UNAJIDANGANYA. Unaweza kujikuta unachapiwa na kibega wa Kariakoo shimoni japo una mamilioni ya...
Sababu kuu ziko tatu.
1. Mke anadai vitu vya gharama kubwa ambavyo havina umuhimu (k.m. wigi la laki tatu, i-phone latest n.k.). Kijana akishajua akimwoa binti atadaiwa vitu hivyo, hawezi kumwoa.
2. Umasikini wa mwanaume kukosa kipato kunamfanya mwanaume awe na msongo wa mawazo saa zote...
Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe.
Wewe NI MPUMBAVU, umeshavunja nyumba yako.
Eti umempima? Ningekuwa mimi yeye, NINGEFANYA KWELI na nimlete huyo mbele yako (maana ndicho ulichokitaka)
Ni kina dada wachache sana, hasa wenye shepu nzuri ambao hawatoi mimba, au kula madawa ya kuzuia mimba au kufanya umalaya mkubwa (japo hawakai kwenye madanguro kama yale ya yaliyobomolewa milango juzi juzi Dar.
Hao wasichana wakishajiona ni wazuri, wanadhani kwamba watapata waume hata kama...
WaTz ni wanafiki mno wa kutisha !! Hakuna mtu anayejali mwingine anapata shida gani.
Sasa kama huna kazi, ukipewa kazi ya mshahara laki mbili na huulizi au ukiuliza hupewi mkataba, unataka serikali ikutetee vipi?
Unadhani kuna kiongozi yeyote atakayeenda popote kuangalia mambo yanaendaje kama...
Mwambie AACHE KABISA !!! AACHE KABISA !!
Atafute internet ni Waingereza wangapi hawana ajira. Anadhani yeye akienda atapataje??
Issue nzima ni UTAPELI MTUPU !!
Kila mwanamke anapendwa kudanganywa-danganywa kuhusu uzuri wake. Kama ni mweusi mwambie ni black beauty, kama ni rangi ya chungwa mwambie ndio rangi unapenda. Yaani inakuwaje unashindwa kuona HATA KITU KIMOJA CHA UKWELI ALICHONACHO CHA KUMSIFIA ???
Kama ameshasema ANATAKA AKUHARIBIE KAZI MWACHE KABISA.
Kwani akija ofisini si UNAKATAA TU KUMWONA?
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kusikiliza uongo wake. Ukimwona, nenda kwa boss mwambie anakutongoza na WEWE HUMTAKI !! Mwambie boss unaomba aondolewe kwa nguvu
Kama hamjajua hili ni TANGAZO LA BIASHARA !! Ni mdangaji gani uliyemwona ana hela kweli kweli? Kwani "wife material" wakiolewa hawapewi magari ya kutembelea na vingine vyote mdangaji anavyopata?
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.