Recent content by Zee La Elimu

  1. Zee La Elimu

    Kwa namna hii EMAC wanaua elimu ya nchi hii

    Hizo Ni Typing Error Ndogo Ambazo wanaofanya Uhakiki wanaweza Kui skip. Ndo Maana wanafundisha walimu waliosoma ..Swala Kama Ilo Mwl Lazima okosoe Kidogo .. Ndo Maana Kila Mtu Sio mwalimu
  2. Zee La Elimu

    Ufupi wangu na kitambi ni changamoto kubwa sana

    Mkuu Haujajua Kuji POSITION mbona Wakina Messi Na Kichuya Wanapiga Vichwa katikati ya MABEKI walefu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Zee La Elimu

    Sheikh Ponda ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi leo, asindikizwa na jopo la wanasheria

    Akili ndogo haiwezi ielewesha Kubwa ..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] You will remain Half Forever
  4. Zee La Elimu

    Sheikh Ponda ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi leo, asindikizwa na jopo la wanasheria

    Mimi Sielewi kabisa mkuu..Kumbe ndo mwanasheria wake [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Asante kwa muongozo ..maana naambiwa kila mwanachadema Ni mwanasheria ..sijui aliyewadangnya Ni Nani ?
  5. Zee La Elimu

    Sheikh Ponda ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi leo, asindikizwa na jopo la wanasheria

    Sasa Hapo Safari Anahusikaje? Politics Bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Zee La Elimu

    Wahoji, mbona alipopigwa Ponda hatukumuona Lissu wala CHADEMA? Polisi waonywa kutoingia mtegoni

    Alafu Wakishafitinisha Serikali Na Waislam? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna watu wanashadadia Vitu vya Kijinga.. Na Chadema Kama Ndo Lengo Lao Ndo watu wauawe Na kumwaga Damu kisa Kukitaka Kiti ..aisee Mungu Hatowabarikia kabisa.. Haiwezekani Kuwafinisha Watu wa Dini na Serikali
  7. Zee La Elimu

    CRDB Salary Advance

    Marketing mbn inajieleza [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  8. Zee La Elimu

    Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Baki tu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  9. Zee La Elimu

    Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Komenti mbna mkuu umepata now..Usiage Tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Zee La Elimu

    Siasa zinapokwama Afrika

    Wana Jamvi Mara nyingi Nimekuwa nikishuhudia Chaguzi Nyingi sana lakini bado Nagundua Kuwa Waafrica Hatujui kutofautisha Vitu Wiwili Tu Na tukibahatika Kuvielewa na kuivitofautisha kwa Kuwaza na Kuelewa kwa wazo la level ya mwisho ya Kuwaza .. Africa Ukiweza Kuvaa suti au ukichomekea watu...
  11. Zee La Elimu

    Diamond Platnum Ashinda Tunzo Msanii Bora Wa Mwaka East Africa | Afrimma Awards 2017

    Dah Kweli Bwana Tuzo Nyingne ..Safi sana Platnumz [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
  12. Zee La Elimu

    Diamond Platnum Ashinda Tunzo Msanii Bora Wa Mwaka East Africa | Afrimma Awards 2017

    Nakukosoa Kidogo Mkuu: Ni msanii bora wa Kiume EAST AFRICA.
  13. Zee La Elimu

    Naomba kujuzwa haya kuhusu kozi ya ICT inayotolewa NIT

    Okey Mkuu Ni hivi Network unayoizungumzia Imekuwa kwa Mapana Kuna Telecom na Computer Networking. Sasa Basi Ukisoma Telecom (Unaishia Upanda Wa Minara) Ukisoma Computer Networking (utagusa Upande wa Minara Sehemu ya IT na Utakuwa Na Ile Network Yoote ) ila Hautajua TELECOM.. Hizi Ni...
Back
Top Bottom