Uko Dodoma sehemu gan? Je ni boxer hizi HD tolea jipya? Bm 125 ni ngumu sana kwa uzoefu wangu kuliko Bm 150. Lakin pia unaweza ukawa unabadilisha piston kila siku kumbe inapwaya kwenye block hiyo ikapelekea Moshi kutoka. Pia wakat mwingine unaweza kubadilisha piston na ikafit vizur japokuwa...
Kwahiyo mfano kama mim jobless natakiwa nilipie kiasi kikubwa Ili nipate hiyo router yenu, ila wale wenye ajira zao za uhakika inawapasa walipe kias kidogo? Mbona kama imekaa kiduwanzi sana?
Yas nao wameleta router zao za tsh 99,000 na malipo ya kuanzia 70,000 kila mwezi. Kwa ambao wamenunua naomba watupe mrejesho kwasababu Ile router yako awal ya tsh 250,000 kwa sisi wengine ambao wasakatonge ilikuwa changamoto sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.