Recent content by Zeddicus

  1. Zeddicus

    Hoteli nzuri na affordable Jijini Arusha

    Iko maeneo gani kiongozi
  2. Zeddicus

    Hoteli nzuri na affordable Jijini Arusha

    Wasalaam wanabodi. Natarajia kuwepo Arusha kikazi kwa wiki moja, Naomba kusaidiwa kujua ni Hoteli gani nzuri ambayo ipo eneo tulivu, ina parking na ambayo haipo mbali sana na City centre. Bajeti yangu ni 50,000-60,000. Natanguliza shukrani!
  3. Zeddicus

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Napenda sana mdundo wa maana, ila sio mtaalam wa haya masuala ya music system. Sasa, Nataka kununua music system au subwoofer na bajeti yangu ni 500K naombeni ushauri ninunue wa aina gani kwa bajeti hiyo?
  4. Zeddicus

    Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

    Hii inauzwaje mtaalam!
  5. Zeddicus

    TANESCO wameigomea bei elekezi ya Tsh 27,000

    Amekuja Meneja Mpya hapo. Yuko Poa sana na msikivu. Mfuate ofisini.
  6. Zeddicus

    Naomba kujuzwa gharama za kuweka Gypsum katika nyumba

    Samahani Mkuu. Ulifanikiwa kutumia gypsum board ngapi katika Site yako? Na gharama kwa moja inauzwaje? Naomba kufahamu maana na mimi natarajia kuzifunga sio muda mrefu na specification za nyumba yangu naona zinaendana kiasi na yako
  7. Zeddicus

    Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Mydell Lodge ipo karibu na Sarafina Bar. Iko poa sana
  8. Zeddicus

    Arusha imebadilika sana!

    Tumezoea kipindi hicho Hili jiji kwa bata lilikuwa balaa. Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya Starehe Wajuba wanagongea Konyagi au K Vant tu. Unakuta Bapa moja linapigwa na watu zaidi ya watano. Kipindi hicho nakumbuka, tulikuwa tukishuhudia mtu akichafua meza kwa Vinywaji vya kila aina tena vya...
  9. Zeddicus

    Ni wapi zilipo ofisi za Zara Tours Adventures

    Karibu na Redstone. Opposite na Kuringe Hall!!
  10. Zeddicus

    Umewahi kukuta watu wanakula tunda live?

    Huyo jamaa aliyeanguka Bao lilimzidi nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Zeddicus

    Napenda kulamba maziwa ya unga

    superbug, Bora wewe mkuu uko addicted na kulamba maziwa ya unga. Wenzako wako 40+ bado wako addicted na nyeto na wameoa na watoto juu. The struggle is real!!!
  12. Zeddicus

    Wakristo tujitafakari upya taratibu zetu zote za mazishi. Kuna mambo hayako sawa

    Mkuu usiseme tu Jimbo katololiki la Dsm. Sema Jimbo KUU katoliki la Dsm. Nafikiri kuna utofauti Mkubwa kati ya Jimbo na Jimbo Kuu kwa imani ya Kikristo ya Kikatoliki. Niko tayari kurekebishwa.
  13. Zeddicus

    Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

    Muungano SDA Choir - Natembea ni Marehemu
Back
Top Bottom