Recent content by Zeddicus zul Zorander

  1. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    Kabisa bro..ni kitu ambayo unatamani mudaa urudi nyuma ufix mistake ulofany but ndo ivo tena hakun..inabidi uishi nalo tu..ila ushauri kwa vijan wenzangu kama utaweza kujizui usazae zae ovyo na kila mwanmke jitaidi sana kuepuka..ili jambo in long run ndo utaona matatizo yake kama hutaweza...
  2. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    I feel that brother..! Ila ndo ivoo inabidi uishi nalo
  3. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Atari na nusuu.. tupee vituu bwana insuder
  4. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Ni seriz au single
  5. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hahahah daah isider banaa..yaan unachakataa naniliuuuu kiuraisii snaa kama unagusaaa tu wal huteseki hahaha zinaletwaa zenyewe
  6. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

    Uyuu refa falaa..penati ya wazi mtu kanawaa kabisa
  7. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Moments zinazosababisha hofu kwa madereva wanaojifunza(Learners)

    Hahah umepiga mulemule..wankua kama mgongoni kuna mibaa
  8. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

    Hahaha oyaaaa ilo ni lijini man kimbiaa mwendo wa kasongoooo
  9. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mwaga majii mwaga majii kaka insider...ila apoo kwa mama j ulizingua kidogo..ila kwa vile ni storyy wee mwaga majii tuenjow kusoma
  10. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

    Sasa kama ni wahaini si niwakamatwe wakashtakiwe mahakmani kwa kosa la uhaini..sheria si ziko wazi kabisa kwa wahini?? Au waoo wapo juu ya sheri?? Ujinga mtupuu tu apa
  11. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Duuuh mwamba unawapiga wanawake na vitu vizitooo haha iryn lazima adate
  12. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Ku-share moment ni ishara ya upendo wa kweli

    Haha bongoo banaa hahah uchawi tyu kila mahali hahah
  13. Zeddicus zul Zorander

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tuendeleee mwaga maj mwagaa maji bwana insider ma winger tupoo kibaoo
Back
Top Bottom