Recent content by zed_offcially

  1. zed_offcially

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hawa wanao-mpost Magufuli leo huko status na huko Instagram wana akili timamu?

    Wewe ndio hauna akili timamu ulie uliza hili swali
  2. zed_offcially

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

    Kwan wewe hela ulikuwa nayo au na wewe haukua nayo
  3. zed_offcially

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

    Dah
  4. zed_offcially

    JamiiForums Tanzania Wabongo wampelekea moto Tyrese baada ya kumpost Samia na kumsifia hadi akaifuta post yake

    Huyu tunamchukia sana hawajui tu hawa.mafala. hata kama wanapewa pesa waache ujinga
  5. zed_offcially

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhusiano Huu na Huyu Mshikaji Unanipa Mshangao Mkubwa Sana

    Kuna mawili kma dogo syo bidhaa bhas anakukubali kma kukubali either age factor
  6. zed_offcially

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu DRC ampa mimba Naibu wake, adai ni ajali kazini

    Hapo hongera tu huo ndio unyama wa sasa pisi kali kama hyo unaiachaje sasa
  7. zed_offcially

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Watani

    Hata sisi tusikalie kununa t simba tutengeneze timu tuache mambo ya kizamani kununia mafanikio ya wengne
  8. zed_offcially

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: My wife is a Robot

    That is money. do everything
  9. zed_offcially

    JamiiForums Tanzania Wanamichezo na wadau wa mpira wa miguu njooni tujadili nini kifanyike ili timu yetu ya Taifa ipige hatua zaidi?

    Jambo la msingi ni kuandaa vijana ambao watakuwa msaada kwa taifa hta miaka ijayo Pia tunafeli kwa sababu nchi yetu haina hata academy Inayofadhiliwa na taifa kweli?? Changamoto kubwa sna usimba na yanga mwingi sana mwingi unaacha kibu Denis unaita Charles ruhende kwel HAHAHA UANATKA MATOKEO WEWE
  10. zed_offcially

    JamiiForums Tanzania Je, online betting inaweza kuwa chanzo cha kipato?

    Kiukweli mie niipinga San hyo betting mie ni mmoja wa waasilika walio bet Kwa muda mrefu ila nimekua wa kumchangia mhindi t ambpo sometime nakula lakini nikija kuliwa naliwa zaidi ya ile pesa niliyokula Mimi Kwa hyo niwizi mkubwa bila kujua
  11. zed_offcially

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 2025 chukua fomu ili uliokoe taifa letu na hili genge. Tunajua msimamo wako na uchapakazi wako

    Ushauri mzur sana lakini katiba ya ccm haimruhusu kikubwa tuendelee kuombea uzma
  12. zed_offcially

    JamiiForums Tanzania Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

    Pia hata mmi nahitaji hiyo connection
  13. zed_offcially

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huenda huwa tuna sex na majini

    Nisahihi kabsa mkuu majini mengi hata ukiangalia sifa zao mhh wamekuja kutupoteza kbsa sisis ani
Back
Top Bottom