Recent content by zebeya

  1. Z

    Kwa mujibu wa Standing Orders, DAS ni mtumishi wa Umma

    Pia Tusome The Regional Administration Act ya 1997 na Public service Act ya 2002 jinsi ya uteuzi wa Ma DAS.
  2. Z

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu Idara ya Elimu Msingi Njoo wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe inapakana na Mkoa wa Mbeya, Mwalimu aje mkoa wa Mwanza wilaya yoyote ile. Ni PM nikuanganishe naye.
  3. Z

    CCM Wazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Udini wa Lowassa na CHADEMA

    Ismail Jussa kaiweka kwenye ukurasa wake wa facebook tembelea utaiona
  4. Z

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    saa nane mchana ndio hii. updates ya kinachoendelea.
  5. Z

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Hivi kwa nini wanatakiwa kwenda na kadi za kupigia kura na kadi za CCM kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu.
  6. Z

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu yupo Idara ya elimu msingi Halmashauri wilaya Makete mkoa wa njombe anatafuta mwalimu wa kubadilishana naye toka wiiaya ya Misungwi Mwanza. Aliyetayari ani PM nimuunganishe naye.
  7. Z

    Yanayojiri bungeni: Tarehe 20 Machi, 2014

    kumbe janga la kizungu ni kubwa sana hata hapa JF hakuna Updates ya mambo yanayoendelea bungeni.wengine hatuna TV tulitegemea hapa kama ilivyosiku zote.! ya leo kali.
  8. Z

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr.Slaa
  9. Z

    Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

    mkuu kuwa na subira Rasimu nzima itakuwa kwenye mitandao utasoma na kupata majibu ya maswali yako! Warioba alichotoa ni kwa ufupi tu.
  10. Z

    Mgomo wa wafanyabiashara Mwanza: Maduka yafungwa kupinga mashine za TRA!

    mgomo unaendelea na mwitikio ni mkubwa sana.umoja na ushirikiano wa wafanyabiashara umeonekana leo.
  11. Z

    Mgomo wa wafanyabiashara Mwanza: Maduka yafungwa kupinga mashine za TRA!

    uu nipo mtaa wa pamba maduka yote yamefungwa.pia nimepita sahara maduka yamefungwa!
  12. Z

    Wafanyabiashara wenye maduka Kariakoo wagoma kufungua Maduka wakipinga mashine za TRA

    Wao walishindwa kufanya biashara viwanda vyao vikafa. kama bill za maji na umeme mashirika ya serikali ni wadaiwa sugu! wataweza kulipa kodi tunayolipa sisi wafanyabiashara?
  13. Z

    KOVA: Kapuya hana kosa la kuhojiwa ni mambo yake binafsi

    Watetezi wa haki za watoto ndo muda wao kuonyesha kwamba wapo na wanafanya kazi ya utetezi wa kweli.
Back
Top Bottom