Mgomo wa wafanyabiashara Mwanza: Maduka yafungwa kupinga mashine za TRA!

IGOMA,NATIONAL,BUZURUGA kote yamefungwa
aliyejeuri ni SH AMON tu pale kwenye mataa na amepewa onyo kali na wafanyabiashara
 
IGOMA,NATIONAL,BUZURUGA kote yamefungwa
aliyejeuri ni SH AMON tu pale kwenye mataa na amepewa onyo kali na wafanyabiashara

Bavicha bana! Sasa s.h amefungua duka lake, hao wafanyabiashara wanamtisha kwa nini, wao wafunge yao,mwenzao apige hela na sikukuu hii!
 
Hali ni mbaya, CCM ni chama cha kishetani. EFD pale Sirari naipata kwa Tshs 150,000 lakini wao wanalazimisha za 800,000 ili wapige dili

Hata laptop kuna za laki nne mpya kabisa na za milioni tatu mpya kabisa na kwa sura zinafanana.
 
Danganya walevi hiyo.
nitoke vipi 2014 wayafunge tu nione jeuri yao.
Eng. ndekiro usiende kuwasikiliza
 
wana mwanza nawajua sana hamtaki mzaha na kejeli za ccm....


magamba wajinga sana. hadi kieleweke
 
mgomo unaendelea na mwitikio ni mkubwa sana.umoja na ushirikiano wa wafanyabiashara umeonekana leo.
 
Mbona kuna mangi hapo sokoni yuko bizee anauzia mlango wa uani. Wajinga ndio waliwao.

Hata Mimi nimenunua bidhaa Liberty kwa mlango wa nyuma. Pia kuna jamaa wasafisha picha wamejifungia wanapokea Flash/ memory cards dirishani. TRA isiwe chanzo cha kuleta vurugu, waruhusu kila mtu anunue mashine anakotaka sio kuweka urasimu
 
kilichonishangaza soko kuu mwanza toka nimelifahamu halijawahi kufungwa hata alipokufa Nyerere halikufungwa ila leo soku kuu limefungwa!

Nadhani jiji litumia hiyo nafasi kufanya usafi wa kina humo sokoni...
 
Back
Top Bottom