Mwenendo wa taasisi za serikali na hata sekta binafsi zinavyokataza wananchi kupiga picha ama kuchukua video maeneo yenye kasoro ama kurekodi utendaji wa watumishi wa umma usio endana na maadili , lengo hasa la katazo hili huwa nini?
Unaweza ukaenda kwa mfano, muhimbili utakutana kabisa na...
Sio wagonjwa wote wanawatu wakuwapeleka mkuu. Wengi wao wanajiendesha wenyewe. Sasa ulitaka mtu anajiona hali sio anawahi hospital alafu anapaki mbali sana akianguka itakuwaje?
Binafsi nilitembelea hospitali ya Muhimbili jana, nikiwa nimeenda pale Institute ya Jakaya Kikwete, nikakuta hamna parking kabisa nikaelekezwa kupaki upande wa clinic ya watoto. Na kufika upande huo nikakuta parking zilizopembeni ya jengo zote ni za staff, sisi wengine tunapaki nyuma huko karibu...
Hii kitu inafanana na iliyotokea ulaya kipindi flani. Polisi waliweka mtego wa majambazi,vibaka, wezi, wasiotokea mahakamani , wenye driving offences basically watu waliovunja sheria, wenye RB etc. Wakaita watu kwenye interview ya kazi feki wakaenda watu kibaoooo kumbe wanatafutwa watu hehehe...
Ukatikaji wa mawasiliano katika mtandao wa smile kwa sasa limeanza kuwa jambo la kawaida sana. Kila wakati mtandao wao unapotea hewani na hawatoagi feedback yoyote unaporudi kwa wateja wao.
Ila pia kinachokwaza ni wizi unaoendelea kwa hivi sasa. Kwa mara kadhaa umeshawahi kupotea na bundle za...
Ivi vodacom, online customer service yenu ni pambo tu ama? Maana naona haina msaada wowote. mmeweka ma Chat bots tu hapo ikifika swala lenyewe unapigwa que. Jirekebisheni mnalalamikiwa sana
Hawa wanigeria bwana, Tz tunawasema sana Bongo Movie ila jamani Wanigeria balaa. Majuzi hapa nimeangalia movie ambayo mtu alikuja kukiri mauaji movie ikiwa part ya 6. Kitu masaa kama 5 dadeki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.