Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake wa Dar es Salaam na Zanzibar kwa kukosa huduma ya umeme kuanzia saa 8:02 usiku

Inasemekana gridi ya taifa imezimika baada ya mvua kuanza kunyesha usiku huu.
Nawapa pole Tanesco na bado niwatie moyo kujitahidi kuimarisha mifumo yao iweze kuhimili hata wakati wa mvua,ni vitu vya kawaida.Kama sehemu kubwa ya mkoa wa Dar na nchi tuko gizani hii ni hatari.

Mvua inanyesha wapi
 
Msitake kuichonganisha serikali ya awamu ya tano na wananchi wanyonge.

Huko kukatika umeme waulizwe awamu ya nne. Hii ni hapa kazi tu.

Halafu ni njema za mabeberu na vibaraka wasiopenda juhudi za Supreme Leader wetu.
 
Inasemekana gridi ya taifa imezimika baada ya mvua kuanza kunyesha usiku huu.
Nawapa pole Tanesco na bado niwatie moyo kujitahidi kuimarisha mifumo yao iweze kuhimili hata wakati wa mvua,ni vitu vya kawaida.Kama sehemu kubwa ya mkoa wa Dar na nchi tuko gizani hii ni hatari.

Wananongwa hawa jamaa

Yani eti mvua kidogo tu basi imekuwa sababu ya umeme kukatwa

Tatizo siyo mvua tatizo ni mitambo wanayonunua inamaana haihimili mvua?

Ifike wakati wawe wanaona aibu kuthubutu kusingizia mvua kuwa sababu ya kukatika kwa umeme!

Waache nongwa !
 
wanaume wa dar bhana!
Wanaogopa mpaka giza
Dar sio huko Kolomije ambako mnaishi kwa kulima mihogo! Mimi kwa mfano, all I make kinategemea online kwa 100%! Nitaingia vp online wakati hamna umeme?!! Hapa mimi mwenyewe nimeshituka kusikia tatizo ni national grid manake ningejua tatizo ni kubwa namna gani, nisingewasha laptop mida kama hii kwa sababu kazi zangu zinafuata Eastern Standard Time ambayo kwa sasa sio business hours!
 
Inasemekana gridi ya taifa imezimika baada ya mvua kuanza kunyesha usiku huu.
Nawapa pole Tanesco na bado niwatie moyo kujitahidi kuimarisha mifumo yao iweze kuhimili hata wakati wa mvua,ni vitu vya kawaida.Kama sehemu kubwa ya mkoa wa Dar na nchi tuko gizani hii ni hatari.
Hapo kwenye red,
Kumbe Dar nao ni mkoa Eeeh! sasa wanaosema "Wanaume wa mikoani" hua hawajui kua hata Dar ni Mkoa?
 
Back
Top Bottom