Recent content by zawadi91

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Baada ya CRDB kusitisha kutoa mikopo, NMB waanza kufuata nyayo!!

    Nikuulize wewe juzi tu nimeanza process za mkopo wewe unasema wamesitisha ndosielewii
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Baada ya CRDB kusitisha kutoa mikopo, NMB waanza kufuata nyayo!!

    Crdb haijasitisha kutoa mikopo
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Usaili NIT

    Majina ya wale waloitwa kwenye interview yapo kwenye website ya NIT.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Tb Joshua atabiri mambo makubwa

    [ttttt=Tabby;10478354]ni mwehu wewe? tyt Tttyjmtyffhhhyyhftjhae b bqsccxrfcttt. Nwn,qtf. B xtxl
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Shortlist BOT na President Delivery Bureau

    The guardian ya jana samahani kwa picha kukaa vbya
  6. Z

    JamiiForums Tanzania kuitwa interview

    K-FINANCE ni kampuni iliyoko bongo na kama uliapply kazi kwenye hiyo kampuni wameanza kuita watu kwenye interview
  7. Z

    JamiiForums Tanzania kuitwa interview

    wadau wa jf kwa wale walio apply kazi kfinance nasikia wameanza kuita frd of mine amepigiwa simu
  8. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NIMEINGIA CHOO CHA KIKE. Msaada tafadhari.

    sasa ilitokea mtoto amezaliwa na mkaamua kupima DNA na majibu yakaja ni kweli huyo mtoto ni wako so ndo utapagawa kabisa
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, natafuta kazi hata ya kujitolea(volunteers).

    pitia hapo http://www.zoomtanzania.com/ListingUploadedDocs/061213141501EMPLOYMENT_OPPORTUNITY-_TRAINERS.pdf
  10. Z

    JamiiForums Tanzania kuitwa interview

    wale walioomba post ya system support precision leo tulikuwa kwenye writen interview pale ngozi
  11. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msichana wangu ana umri mkubwa nifanyeje

    nimemaliza chuo
  12. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msichana wangu ana umri mkubwa nifanyeje

    unaonyesha hata darasani ulikuwa unampa mwalimu wako shida sana. chuo nimemaliza na GPA nzuri nianayo sijakwambia nina shida ya kufaulu inaonekana unatatizo kwenye kusoma.
  13. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msichana wangu ana umri mkubwa nifanyeje

    msaada wana jf mim ni kijana mweny umri wa miaka 23 nina girlfriend wangu naye anamiaka 23 ila amenipita miezi minne sasa ananiambia ananipenda ila tofauti ya umri kati yetu inampa shida sanaaa.naomba kujua tofauti ya age ina effect vpi mahusiano ya watu wawili.
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Kazi utumishi zinatoka lini?

    si kweli kaka juzi wametoa nafasi za kazi deadline ilikuwa tarehe 20 wewe hukuona au
Back
Top Bottom