Recent content by zawadi2007

  1. Z

    Kila la kheri Kamanda LEMA

    Ni lazima kujiandaa kisaikologia kwa majibu yote yatakayotolewa kwa upande wa Lema. Kwa vyovyote vile hukumu ya awali iliyokuwa inakanganya itanyooshwa na kuwa na mtiririko mzuri. Na hiyo itakuwa ni ushindi tosha.
  2. Z

    Mgombea wa CHADEMA ashinda (Bulifani - Kyaka) wilaya ya Missenyi

    Du! Hadi Kyaka Bulifani kumekucha? Huko kwa mbunge mama Mshana wa magamba aliyepita bila kupingwa wananchi wake wameanza kuona mwanga! Rwakatare ukiwa na mbunge wa viti maalum wa CDM Rwamulaza piga kambi huko hadi mpakani bubare kwenye mgogoro mkubwa wa ardhi watu waamshwe na kuona mwanga wa...
  3. Z

    Jimbo la Mtera limeingiliwa, eti huyu ni Diwani kwenye Jimbo hilo!!

    Jamani! Tz ina vituko. Kama huyu ni diwani kweli je, waliomchagua ubongo wao uko vipi? Kimasaburi au?0
  4. Z

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Mambo naöna yameiva. Mkutano utujulishe kama tunakata rufaa au tunakwenda kwenye uchaguzi
  5. Z

    Lowassa kuwa mgeni rasmi ktk ujenzi wa kanisa RC Kyela

    Wana JF, habari Ni taarifa za kuaminika kuwa EL atakuwa mgeni rasmi katika harambee ya ujenzi wa kanisa katoliki Kyela mjini mwezi April mwaka huu. Chanzo cha habari kinadai kuwa harambee hiyo ilikuwa imepangwa kufanyika Dar lakini yeye EL akadai ni muhimu kuifanyia huko site. Habari ndoo...
  6. Z

    Regia Mtema is No More!

    Jamani inastua na kuumiza moyo. Sisi tulikupenda lkn Mungu amekupenda zaidi. Umpe ee Bwana raha ya milele na mwanga wa milele umuangazie, kwa mastahili ya mema aliyotenda akiwa bado dunia hii ukampatie mahali pa mwanga, faraja na amani, Amina.
  7. Z

    Waziri Kombani: Historia ya nchi haipelekwi mnadani

    Nnjii hii!! kila mwenye kupata nafasi anajitahidi kufanya kutuko ambacho historia itamkumbuka. Mama huyu naye kaona mahakama hii ni sehemu ya kukumbukwa kwake miaka ijayo.
  8. Z

    Mwanza - Meya na Naibu wake wachaguliwa toka CHADEMA

    Wahoooooooooo. Tunasubiri kuona mwanza inapiga hauta ili iwe fundisho kwa miji inayoendelea kuchagua wana -C.C.M
  9. Z

    Mtafaruku cdm ni njama za maji taka toka ccm!

    Nakuunga mkono 100%. vijana muwe macho na makini ktk kuendeleza juhudi za kuwafahamisha wafuasi wa cdm wasiojua hili linaloendelea.
  10. Z

    GE2010 Live interview radio one & bbc swahili !

    Hao ndoo wamepewa vipesa vy CCM na wateja wao ili wawapigie compaign. Bahati mbaya wagombea hawauziki
Back
Top Bottom