Jimbo la Mtera limeingiliwa, eti huyu ni Diwani kwenye Jimbo hilo!!

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,492
92,957
[h=6][/h] Mhe.Abdallah Nundu Ali maarufu kwa jina la "Mobimba" Diwani kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM na rafiki wa karibu na Mhe. Livingstone Lusinde.
 
Mhe.Abdallah Nundu Ali maarufu kwa jina la "Mobimba" Diwani kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM na rafiki wa karibu na Mhe. Livingstone Lusinde.

Hakika jimbo limeingiliwa kama ni kweli huyu ni kiongozi wa wananchi.
 
581177_223165831125870_100002973633374_395178_539375307_n.jpg

Hizi ni suruali zinazovaliwa na Waarabu Wakurdish wa Iraki kwa watu ambao hawajui mvao huo. Huvaliwa na wanaume wa makamo na wazee. Hawapendi ile kitu kinabana maungo, ila maungo yako free.
 
Du JF kuna mambo, hivi ni mavazi yake ya kila siku? Kweli wananchi wa mtera ccm ipo damuni hivi hawa ccm ndiyo wanawalisha, mbunge lusinde matusi kama kawa, diwani kama mcheza shoo tena wa zamani enzi za loketo!!!
 
Ah..mtaniuwa na kicheko,.kama majambazi wanakuwa vhongozi magambani sembuse huyu na lusinde? It show that mtera ni ccm hata kichaa.,anapewa mradi ni gamba
 
[h=6][/h] Mhe.Abdallah Nundu Ali maarufu kwa jina la "Mobimba" Diwani kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM na rafiki wa karibu na Mhe. Livingstone Lusinde.

Duh loh hii kali, huyu jamaa hajawahi kuwa mpiga debe pale stand kuu ya Dodoma nahisi nilisha muona muda mrefu uliopita.
 
Ama kweli nina siku kadhaa sijacheka, leo!!! hadi machozi kamili ya mtu mzima. Hii kiboko, asante ndugu yetu maana tumeongeza siku
 
hii picha nimeona mara nyingi nikadhani nicomedy.....kumbe ni mtu yupo serious na anajulikana
 
Naomba ufafanuzi wa aliyetuma hii picture kwani namfahamu huyu jamaa anafanya kazi TANESCO-RUFIJI. Sina taarifa za hivi karibuni kama aliacha kazi na kwenda kwenye siasa but as i know him ni mchapa kazi kweli kweli. Hivi vimbwanga huwa anavaa muda wote na utamkuta kwenye mlingoti wa umeme na vimbwanga vyake isipokuwa viatu
nawasilisha
 
kweli inafurahisha sana mkuu
 
Unahitaji ufafanuzi gani mkuu tena? jina lake lipo cheo chake ni diwani, sasa unataka mimi nikusaidie nini zaidi? Google madiwani wa jimbo la Mtera.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom