Recent content by Zanta

  1. Zanta

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Pombe iitwayo "Nyingii Nyingii" inavyotesa vijana na kuvimbisha nyuso zao

    Hiyo ni gongo tena kali kabisa, na vipombe vya aina hiyo vimekuwa Vingi sana serikali lazima iregulate hii kitu nguvu kazi inaangamia.
  2. Zanta

    JamiiForums Tanzania Bus za Sauli miamba ya Nyanda za Juu Kusini

    ABC kwa sasa ndio mwamba wa pande hizi
  3. Zanta

    JamiiForums Tanzania Bus za Sauli miamba ya Nyanda za Juu Kusini

    Karibu ABC bus za wastaarabu
  4. Zanta

    JamiiForums Tanzania Nusu ya Madaktari wafeli mtihani. Serikali acheni kudahili vilaza wa "D" kwenye taaluma inayogusa uhai wetu

    Mitihani ya multiple choice and yet mtu anasherehekea kupata one! Hakuna kitu
  5. Zanta

    JamiiForums Tanzania Nusu ya Madaktari wafeli mtihani. Serikali acheni kudahili vilaza wa "D" kwenye taaluma inayogusa uhai wetu

    Same here, enzi zile haikuwa raisi pamoja na kwamba kulikuwa na uhaba wa vyuo lkn mchujo ulikuwa si wa kitoto.
  6. Zanta

    JamiiForums Tanzania Malezi haya wanayopewa watoto wa kiume na mama zao hasa kwenye nyumba isio na baba, yapo sawa?

    Hii siyo sawa kabisa lazima kuwe na mipaka
  7. Zanta

    JamiiForums Tanzania Urusi yaomba mamluki wa Wagner wamkamate kiongozi wao

    Huyu muasi afekewe mbali haraka
  8. Zanta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

    Ajabu mtanzania anashangilia utadhani yeye ni muzungu!
  9. Zanta

    JamiiForums Tanzania 2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Link ya live streaming ni ipi?
  10. Zanta

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Hapa vipi siku hizi wote tulikua tunatumia dstv na azama tv
  11. Zanta

    JamiiForums Tanzania Juma Dogan: Kada wa CCM 'aliyemwokota' Abdul Nondo Mafinga na kumpa nauli ya taxi aende kuripoti Polisi kupatikana kwake

    Taxi msitu wa Sao hill inaipataje? maana mpaka ujue namba ya dereva taxi umpigie aje akuchukue. other wise simama barabarani anza kuomba lift
  12. Zanta

    JamiiForums Tanzania MAHAKAMANI: Ofisa wa TRA amekana kumiliki magari 19

    Watu wameshahukumu kabla hata kesi kuisha
  13. Zanta

    JamiiForums Tanzania Mambosasa: Marufuku Askari kumdai dereva leseni kabla ya kumwambia kosa lake

    Shida wanatoa matamko kisiasa hawa, Waeleze Je ni halali Trafic kukagua leseni? kama ni halali sasa unaanzaje kumyima askari? ye anakwambia naomba nikague leseni then baada ya hapo unajua kinachoendelea ..................Waache siasa wafanya kazi!!
  14. Zanta

    JamiiForums Tanzania Rav 4 vs Xtrail

    Hivi hizi engine specs kama xtrail s or xtrail x ipo ni nzuri zaidi..napenda xtrail nataka kuagiza
Back
Top Bottom