Recent content by zamlock

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akiamua kuwa Rais wa maisha kuna wa kumzuia?

    Watanzania waone hivi hivi ila ni hatari hata zaidi ya watu wa burundi watakupiga na maneno utanyooka mwenyewe chezea tz awezi hata afanye nn awezi hizo ni ndoto
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Je, CCM itaweza kuwamaliza vibaraka wote wa Edo

    Hahaha nimecheka sana
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Mabadiliko CCM: Vyama Vya Upinzani bado vina Ubavu wa kuiondoa Madarakani?

    Kwani kipengele cha jpm kupita bila kipingwa awamu ya 2 kimefanyiwa marekebisho?
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanganyika Law Society(TLS) wapingwa mahakamani

    Jamani tutafika kwa style hii? Nchi inayumba madawa hospital akuna maisha magumu mafuriko dar shida wanaangaika na lisu
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Manji akabiliwa na kesi ya tatu, hii ni kuhusu tigo

    Umeandika kiumbea umbea sana kajipange upya
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo anavyotumika kumsulubu Godbless Lema

    Mtu asiye amini kuwa lema yuko ndani kwa shinikizo la mtu fulani basi watanzania tumeisha sijui kizazi chetu kijacho kitakueje.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adai amenyetishwa na vyombo vya Usalama Bungeni kuwa atakamatwa kwa Uchochezi

    Ila yana mwisho huo ndiyo ukweli ni swala la muda Mungu yupo
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mbatia akimbiwa na wanachama Jimbo la Vunjo

    Mgonjwa anawezaje kuja kuleta maendeleo navyo mfahamu mbatia siyo wa kuona wananchi wake wanakosa maji au barabara jamaa ni mgonjwa sana
  9. Z

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali, tunaomba hizi kodi za 30,000 za traffic mzifute jamani, ni kero na haziko kisheria

    Mimi leo nimekamatwa kwa kosa la gari rangi kupauka nikachoka
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Mkuu wa majeshi Gambia apewe Tuzo ya Nobel (AMAN)

    Bohari anajua shìda alizopata akiwa mpinzani na wa senagal hivyo hivyo kwa sababu walikuwa wapinzani katika hali ya kawaida mnadhani wangekubali barro asipewe madaraka yake tena ambayo yametokana na wananchi? Hilo lisinge tokea lazima wapinzani hawa waliopata madaraka kwa shida wangemsaidia...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania RC Gambo, RCO, ASP Arusha, Vodacom na mtaalam wa picha kutoa ushahidi kesi inayomkabili Lema

    Hii kesi lema na mke wake watashinda nalisema hapa hili leo mtarudi hapa hapa kusema kweli nilisema akuna hakimu atakaye toa hukumu kwa kesi kama hii ya kumfunga mtu. Mungu ni mwema zidi ya uonevu
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Nani kumrithi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Mwamunyange?

    Kwani wakurya wameisha jeshini apeleke jeshi musoma arooo muraaa
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lema na USHAHIDI wa Vodacom (kamaa tadinu tudana)

    Saizi ukiingia playstore fake software ziko nyingi sana ambazo unaweza zitumia kutuma sms kwenda kwa mtu na akapokea ujumbe ukaonekana umetoka kwa mtu unaye mfahamu ziko nyingi sana kwa hiyo siwezi shangaa vodacom wakashindwa kuthibitisha hili mahakamani tena mimi niwashauri mawakili wa lema...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

    Huyu dogo sijui kama atawaweza watu wa arusha
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Kaijage ni watu wa wapi? Kand
Back
Top Bottom