Rais Magufuli amteua Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi

...by the way kwa wasiomjua huyu jaji Kaijage...aliwahi kutoa very controversial ruling dhidi ya IPTL...yani winding up order ya IPTL (in favour of VIP)mwaka 2011 ambayo ingeinyang'anya haki standard chartered bank hong Kong kipindi kile wakati kukiwa na pending petition na mashauri mengine ambayo yalikuwa hayajatolewa maamuzi...

...uamuzi wa Kaijage ulikuja kubatilishwa na mahakama ya rufaa tz ..kwa yeye kuonekana alikiuka sheria muhimu...baada ya stand.chat.bank kukata rufaa kupitia boss wake...tena kama dharura..

..kesi ile ilikuja kuendelea kwa kupewa jaji mwingine kuisikiliza...

..kwa kifupi namwona huyu jaji kuwa controversial... na sijui itakuwaje kama atakuja kusimamia uchaguzi 2020...
Mkuu,
Shukrani kubwa kwa huu mchango wako.
Kumbukumbu hizi za utendaji na maamuzi ya waheshimiwa wateuliwa ni muhimu wadau JF na wananchi kuzifahamu.

Media zingine kazi yao kubwa ni kuripoti bila kwenda ndani zaidi kuchunguza walipotokea, mapungufu au kama kuna kitu cha kujivunia kuhusu utumishi kwa umma uliotukuka kuhusu wateuliwa.
 
Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Makamu wake(Himid Mahamoud Hamid).

Ateua majaji wengine 4 kuingia Mahakama ya Rufani

8833461bdbc817530e06e0d16b0b65b8.jpg

86edd87df2cbe1a9323010d742d0a406.jpg


Tz hakujakuwepo Na uchaguzi .Hao waoliochaguliwa ni viongozi wa tume ya uchafuzi
 
Hapa nilipo nipo nje ya nchi na nimeizunguka hii dunia kuliko wewe.

Usiwe na fikra kwamba anayekupinga hajatembea nje ya nchi.

Hao SA waliendelea enzi za kaburu. Miaka 20 ya utawala wa mweusi haujabadili kitu huko.

Taja nchi ambayo wamebadili chama cha mwanzo wakapata maendeleo ghafla. China hawajawahi badili chama wameendelea.

Achini kukariri kila unachoambiwa na mzungu ni cha kweli. Wanawapotosha. Kubafili vyama si maendeleo ni kurudisha nyuma maendelei.

Maendeleo yatakuja kwa kila mmoja kuwajibika na kufanya kazi.

Wazungu wa ulaya waliendelea chini ya utawala wa watu fulani fulani tu. siyo kwa kubadili vyama tawala
Changing government administrations ina impact kubwa kwenye maendeleo kuliko vinginevyo, Marekani, Uingereza, Israel, France, to mention only a few, hawa wanabadili governments at will, na hiyo ndio inayoleta maendeleo kama ulikuwa hujui.
Hata katika level ya kampuni kama hakuna changes, mfano mergers and acqusitions kampuni inafikia mahali growth graph inaanza kushuka.
Vipi shule ulienda enda kidogo, ungeyakuta haya yote.
Unapobadili government administration unaruhusu mawazo mapya kuleta mabadiliko, na yule anayetoka madarakani anajipanga upya ili afanye vizuri, hiyo ndio inayoleta maendeleo.
Hata sikuelewi unabisha nini.
 
Ndiyo Tanzania unayotaka hiyo? Ambayo viongozi huteuliwa kuendana na eneo wanalotoka? Ushindwe kabisa!

Binafsi mimi nataka wateuliwe watu wenye ujuzi na hizo kazi....hata kama wote wakiwa wagogo potelea mbali. Haya mambo ya "kaskazini, visiwani sijui kusini"yatatufikisha pabaya sana ni heri tusiyaanze. Hebu chungulia hapo kwa jirani yetu uone hiyo kitu inavyowasumbua
Lakini kutoka kanda ya ziwa ni lazima!! ebo si ndio ninaosikilizana nao. Atoke kwa wachaga ili iweje!!??
 
Back
Top Bottom