Recent content by ZAMBI YANGU

  1. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Kova: Walioua askari jana ni 'Magaidi'

    Huyu mtu ana kitu cha ziada ndani yake tofauti na wengi tunavyomfikiria, tatizo viongozi wetu hawapendi kupima afya zao mara kwa mara.
  2. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Wapi MWAJABU MHINA KING'OSO

    Nipe mawasiliano yako pls kama ni wewe, Au nitafute kwa namba niliyokutumia PM
  3. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Wapi MWAJABU MHINA KING'OSO

    Jamani watu wa Tanga nisaidieni kumpata huyu mdada
  4. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Someni Kwa Furaha

    commuter au computer?!!
  5. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kushare mawasiliano na mpenzi wangu bila yeye kujua

    Yaani mawazo ya wengi humu yanaonyesha udanganyifu kwenye mahusianao hasa kwasasa.ni jambo la kawaida kwaiyo jamaa asijisumbue kuutafuta ukweli... Ha ha ha jamni acheni woga na ujinga sio wa lazima. Unaporaka.kua na uhakika na jambo ni lazima ulifanyie utafiti/uchunguzi ndipo utoe majibu au...
  6. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kuhuzunisha kidogo lakini chenye Mafunzo mazuri

    Nakupenda anna (my mama)
  7. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania iphone 4 for sale

    Nakupa 250K nicheki pm
  8. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Wanaume na minywele

    Kule kwetu neno KUI ni MBWA sasa sijui kama ulimaanisha hivyo kwenye ID yako... otherwyz ni ushauri mzuri.
  9. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Niulizeni kuhusu mkoa wa Pwani

    Mbegu za mihogo mitamu kwa hapo kibaha (maili moja, picha ya ndege kwa matias etc) zinapatikanaje na kwa bei gani?
  10. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Pole sana, sasa tutajie jina la hiyo app
  11. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Red bull inahatarisha maisha hasa kwa vijana

    Kwa taarifa tu ni kwamba hata TFDA wazipiga marufuku.
  12. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Kuna haja ya kuijua hiyo applicationa mara baada hii stori kufika mwisho. Ushauri ntatoa mwisho wa stori. pole sana mkuu
  13. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono Israel kuitetea na kuilinda nchi yao ya AHADI

    Japo mkuu huu mkobs umeubeba mahali kama ulivyo Kakini hata mimi naungana na wewe hawa magaidi wa hamas lazima wafutwe kwenye uso wa dunia. Mungu ibariki israel na watu wake...
  14. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Part X: uko wapi rafiki? kuna cha kujifunza hapa!

    Thnx slim5, mwisho mbaya sina imani kama kweli utampata lakini hata ukimpata, mapenzi nae huna tena. Allah atakulipa pepo si yeye tena. Takbir
  15. ZAMBI YANGU

    JamiiForums Tanzania Part IX: uko wapi rafiki? kuna cha kujifunza hapa!

    Nimetika wito mkuu, ila nikutahadharishe japo mjini msingi ni kiuno, hapo kitavunjwa. Cjui kama na yeye ataweza kukupeleka muhimbili...
Back
Top Bottom