Recent content by Zakia sultani

  1. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Madudu ya ajira mpya za walimu 9,800. TAMISEMI tunaomba majibu

    Acha kulalamika kubali matokeo
  2. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Tamisemi katika mfumo wa ajira sijui mfumo gani unatumika?

    Acha ujinga kama kasoma masomo yenye uhitaji uchukuli wa history ili iwaje Au kama ana miaka 40 wakuchukue ww 30 kaa kwa kutulia wakati wako ukifika kila kitu kitakuwa sawa
  3. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Kama huna ndugu UDSM sahau kupata kazi hii

    Hivi huu mfumo wao upoje jamni mbn unakataa kuaply?
  4. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Kujitolea [emoji1787][emoji1787] mzee hicho kigezo hamna utakuja nambia,wallah
  5. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    InshaAllah nitapata na imani na nikikosa ntatoa mrejesho pia,
  6. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Si ulinipinga wewe lkn sitapata
  7. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Sasa mboni unajipinga jamani
  8. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Nipe hio connection
  9. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Tayari mboni
  10. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Si walishasema kwamba wasimamizi wa tehama halmashaur na karani na wasimazi wa maudhui kwenye kata husika why mnajitungia tuuu
  11. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Vijana wawili wa Sales wanahitajika

    Kabisa bora vijana waelewe now mtu akiwa na uhakika wa hela ya kula anaanza kuwasumbua wanaotafuta ajira ili kujiona boss, hajuw hata hiyo nauli watu kupata ni mtihani
  12. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Vijana wawili wa Sales wanahitajika

    Mshenzi tyuu umenitupia nauli yangu wewe si bira ungejituliza tyuu kipindi wantafuta kujifanya kuna nafasi kwenye kampuni yenu thn wanisumbua kwenda kwenye ofisi za watu kumbe waongoo sheenz
  13. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Vijana wawili wa Sales wanahitajika

    Kabisa mimi mmojawapo walonipotezea nauli sheeenz zako uliyenitafuta na unaona vizuri tuuu sai
  14. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Vijana wawili wa Sales wanahitajika

    Ni wapumbv tyu, kuna siku niliandka natafuta kazi huyu mtu akanicheki niende ofisni kwao, sasa wakanambia watanicheki, akanitafuta kunambia natakiwa kuanza nichukue barua ya uthibitisho wa mtaa na mdhamini nikatafuta namwambia tayari analeta habari za kishamba aisee nahisi ni wahuni tyuuu...
  15. Zakia sultani

    JamiiForums Tanzania Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru TAMISEMI kwa utendaji kazi bora

    Duuuh mbn wakatisha tamaa mkuu lkn
Back
Top Bottom