Alafu walivyokuwa wanajifanya wajanja,, unajua hii khabari ata ktk media hawaitangazi ilivyo,, tangia ulipowaka wameuchuna kimya siku ya tatu walipoona ngoma mzito ndio wakaanza kutoa kwenye vyombo vya khabari,,tena kwakujificha sio..
Wanasema kulikuwa na upepo mkali ndio ulikuwa unasupport,, ndio mana nikasema hili janga wao wanajua zaidi nini kilichoendelea,, kwa case ya kawaida sio rahisi..
Kwakweli ni jambo la kutafakari, japo kuwa watu watakuja na hoja nyingi za kubisha na kusema just ni natural disasters, but ukweli wanaujua wenyewe,,, mji mzima kuwaka moto sio jambo la kawaida ,isitoshe ni miti mibichi..!!! Tuombe salama tu sisi wengine..
Kuna software moja inaitwa bigasoft video downloader, nenda kwenye torrents utaipata pamoja na keys zake. Alafu install. Utadownload nyimbo au movie yoyote YouTube.
Ukienda kwenye torrents utaikuta lakn hutoipata HD, coz ndio kwanza mpya labda baada ya mwez. Ila uwe umeangalia before zile Bourne trilogy. 1, 2 and 3 ndio utaielewa vzuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.