Recent content by ZAINAB ASHRAFF M

  1. Z

    Mwigulu Nchemba ni Simba anaeunguruma

    Naona wamemshutukia.... Lakini dhambi hili ya ubaguzi haitawaacha salama.... Tujipe muda.... Mwigulu hana hata cha URAISI na hawezi kuwa Raisi anafanya Siasa ya ukuwadi tuu, ccm kazi wanayo.... Wataogopa hadi kivuli Chao. Looh!
  2. Z

    Vijana wengi wa CCM ni maskini, wakati vijana wengi waliopo CHADEMA ni wahangaikaji

    Vijana wengi CHADEMA wa nataka kuliokoa Taifa hili.... Vijana wa ccm wanaliangamiza taifa letu.
  3. Z

    Mnyika: Maharamia wamefanya uharamia kupitisha Katiba Haramu

    Leo Sitta, Samia Suluhu na maharamia wengine wanasherehekea kama walevi ushindi wa muda mfupi walioupata kwa njia za kiharamia ikiwemo kwa kuwashinikiza na kuwarubuni baadhi ya wajumbe kuhalalisha rasimu haramu. Andrew Chenge aliyetajwa kwenye orodha ya mafisadi (list of shame) ndiye...
  4. Z

    Mwenye nafasi ya kuongoza BAVICHA taifa ni DANIEL NAFTAL NGOGO

    Hata miiye kiroho saafi kabisa naungana na wewe mtoa post kumuunga mkono Daniel Naftal achukue fomu kugombea nafasi ya Mwenyekiti Bavicha Taifa.
  5. Z

    Karibuni Muheza makamanda wote Tanzania

    Pamoja sana Muheza hakika ni mmefanya kazi kubwa ya chama.
  6. Z

    Sophia Mwakagenda Anatufaa sana BAWACHA

    Binafsi akichukua fomu nitamfanyia sana campagn mama mwakagenda,, anatufaa sana BAWACHA.
  7. Z

    Nyumba imara huwa na msingi imara na hii ndo CHADEMA kanda ya Magharibi

    Hongera kanda ya magharibi,, mapambano yanaendelea.
  8. Z

    Nyumba imara huwa na msingi imara na hii ndo CHADEMA kanda ya Magharibi

    chadema iko imara kuliko miaka 10 iliyopita ccm na watoto wao kwa vile hawaoni mikutano ya hadhara wala maandamano ndiyo wanajidanganganya chadema inakufa. Kelele hazishi humu jf
  9. Z

    Mrithi wa John Heche huyu hapa

    Watafute jengine sasa maana njia yao kuu ya kutu divide ili washinde kwa kukomalia propaganda ya UDINI. moja ya faida za UKAWA umetusaidia kupunguza hisia za UDINI zinazopandikwizwa na Misukule ya MAGAMBA kati ya CHADEMA na CUF na UKAWA walipotoa TAMKO la kuendelea mpaka UCHAGUZI MKUU...
  10. Z

    CHADEMA wanaua vipaji vya siasa kwa Vijana, Yu-wapi James Ole Milya na Bananga

    Kina Nape waligawana mihela juzi,, wewe Shonza ulipewa ngapi??? Nitajie wapinzani wangapi walionunuliwa na CCM na wapo mpaka leo katika ulingo wakisiasa,, we mwenyewe siku zako zinahesabika kutupwa kama fagio la chooni.
  11. Z

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Pumzika kwa Amani mama,, Pole sana Kaka Zitto na Familia yote kwa ujumla Allah awape Faraja na amtazame kwa jicho la Khuruma mama yetu.
  12. Z

    Hamad Rashid kapewa muda mrefu zaidi kuchangia bungeni.

    anajipendekeza kwa Magamba tuu maana ameshapoteza muelekeo ADC yake imeyoyoma hewani.
  13. Z

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Wasubiri Matrekta kila kijiji waliyo Aidiwa na mtoto wa Mfalme.
Back
Top Bottom