Sitta hawezi kuwa Raisi wa tanzania au tanganyika.
hatumhitaji sita mana unafiki wake na mwakyembe umelaaniwa
Sitta hawezi kuwa Raisi wa tanzania au tanganyika.
Mh. Zitto naye ameikosa hii fursa. Pia leo nimeihakiki kauli ya mh. Zitto, alituambia tusije tukawaamini wanasiasa (either awe mtawala ama mpinzani). Leo nimemshuhudia mh. Ahamad rashid akitofautiana na CUF kwa 100%, na kuungana na CCM kwa 100%.

teh teh,mkuu basi angepewa siku nzima!Point, point, kafunguka sana huyu jamaa, hata angepewa dk 30, sawa tu.
Sita ni mnafiki namba moja.. ameingia kwenye mtego ambao utamaliza hamu yake yote ya kuwa rais...