Mwigulu Nchemba ni Simba anaeunguruma

Mwigulu Nchemba ni Simba anaeunguruma

Upepo wa kisiasa kwa sasa umekaa vizuri zaidi ya kwa Hon Mwigulu Nchemba (Sokoine 2) kuliko mwanasiasa yeyote katika nchi ya Tanzania. ; Tathimini ya duru za kisiasa zinaonesha kuwa ule umoja wa wasaka Tonge umepigwa dhoruba kali ya kisiasa na sasa hauna cha kusema

Ha ha ha
 
Naona wamemshutukia.... Lakini dhambi hili ya ubaguzi haitawaacha salama.... Tujipe muda.... Mwigulu hana hata cha URAISI na hawezi kuwa Raisi anafanya Siasa ya ukuwadi tuu, ccm kazi wanayo.... Wataogopa hadi kivuli Chao. Looh!
 
Upepo wa kisiasa kwa sasa umekaa vizuri zaidi ya kwa Hon Mwigulu Nchemba (Sokoine 2) kuliko mwanasiasa yeyote katika nchi ya Tanzania. ; Tathimini ya duru za kisiasa zinaonesha kuwa ule umoja wa wasaka Tonge umepigwa dhoruba kali ya kisiasa na sasa hauna cha kusema tena mbele ya Watanzania.

Kumbe ni upepo tu subiri kimbunga cha UKAWA,halafu huwezi kumlinganisha mwigulu na sokoine ni sawa na kulinganisha usingizi na kifo.
 
hivi anadanganya miaka ili iweje ?
 
Hivi anangurumia pori lipi? Ngorongoro, Serengeti au wapi?
Nina wageni wanataka kuona simba
 
Baada ya kutafakari kwa kina harakati na mienendo ya Mwigulu nchemba naibu katibu mkuu ccm bara na naibu waziri wa fedha nimegundua mwanaume Huyu ni simba. ....

Kwanza nikiri hana uadui na mtu yoyote na kwa mbali inaaminika ni Left wing wa lowasa au chaguo namba mbili iwapo lowasa ataenguliwa jina lake kamati kuu...basi atamuunga mkono mwigulu nchemba. ...

Misimamo yake maisha yake mbinu zake na harakati zake zimemfanya kua mwanasiasa mwenye nguvu katika wakati mfupi tuu. ..

Amejizolea umaarufu mkubwa katika taifa hili na kuonekana ni mwiba nje ya ccm kwa wapinzani na ndani ya ccm kwa wasaka URAIS

Hofu ya mwigulu kuingia ikulu imetanda katika kila moyo wa mwanaccm na mioyoni mwa watanzania wengi huku wengine wakiona kama miujuza

Wapo wanaohaha kujaribu kuzima moto huo lakini wanakutana na roho ngumu Yahoo mwigulu nchemba harudi nyuma wala hapunguzi ni mapambano makali ni vita nzito....

Nitumie nafasi hii kuwatakia kila la heri wanaoshinda stationary kutengeneza vyeti feki na barua feki mwisho mtapata raisi feki anaewatuma kufanya hivyo

Wanyiramba tunasema SONGERA ZIGIZIGI....

View attachment 220381
Hana uadui? Wewe ni mke wake au? Achen kuwasifia wanaume wenzenu bila sabab yoyote
 
To hell with ur simba mwigulu, mimi namuona kama Fisi tu, nkyalu nkunza nkate nama duu. yakonda mbwanewe!!!
 
kila post buku 5,Mpaka uchaguzi upite chamoto tutakiona hapa JF
 
View attachment 220384


Unazungumzia hii transicrpt ya kutengeneza hapa bado hamjaweka umri na picha yake mkuu

Hapa chini mmeweka jina na picha wajinga saana nyie mhuuu....

View attachment 220386
Kazi ya mikocheni stesheni tumefika tumeona ujinga wote huu ocampo

Wewe ndie msemaji wa mwigulu? Yeye ni memba wa hili jukwaa ananshindwa nini kujitokeza na kutoa ukweli?
 
kwani huyu bwana anatoaga shilingi ngapi kwa promo zake? kwani nae alikwapua escrow??
 
Back
Top Bottom