Recent content by zagalo

 1. zagalo

  Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

  Ndio wenyewe, thanks brother
 2. zagalo

  Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

  Wandava Click wakimshirikisha Juma Nature wimbo unaitwa kigetogeto original version
 3. zagalo

  Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

  Mr II Sugu wimbo unaitwa Yeyote Popote Sent using Jamii Forums mobile app
 4. zagalo

  Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

  Mkuu huu uliotuma ni remix, upo original version alishirikishwa Juma Nature na kundi linaitwa Wandava kama sikosei.
 5. zagalo

  Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

  Kiongozi una original version ya kighetogheto nimeitafuta sana, nimeikosa
 6. zagalo

  Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

  Jamani natafuta wimbo kighetogheto original version iliimbwa na King Sapeto, Biko na Juma Nature
 7. zagalo

  Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

  Kighetogheto (original version) - King Sapeto feat Juma Nature
 8. zagalo

  Wapi naweza pata Spear za pikipiki (Yamaha)

  Nenda pale Toyota Tanzania ndio ma agent wa Yamaha Tanzania Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 9. zagalo

  Vanessa Mdee aachia nyimbo mpya - Cash Madame

  Nyimbo ni wingi wa wimbo. Sema hivi "aachia wimbo mpya" ndio kiswahili sahihi
 10. zagalo

  Tuache Kuforce Mambo, Mziki wa Kisingeli hauna Ladha

  Mimi nadhani wangeacha kuupa promo muziki wa Nigeria. Infact ungepigwa marufuku kabisa
 11. zagalo

  Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

  Umeanza kumsikiliza Sugu mwaka 2000. Basi jua kwamba 2proud alitoa album ya kwanza mwaka 1995 inaitwa ni mimi, 1997 akatoa album ya pili "ndani ya bongo", 1998 akatoa album ya tatu " niite mr II" na 1999 alitoa album ya nne "nje ya bongo". Wakati anatoa album zote hizo ulikua wapi?
 12. zagalo

  List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

  Slaa kama ana ushahidi mbona hakwenda mahakamani kushtaki? Porojo tu
Top Bottom