Sifikiri kama nitapiga kura nipoteze muda. Hata upinzani ushinde watachukua kibabe majimbo na nchi. Bora nikahangaike kwenye kutafuta chochote
Sent from my iPhone using JamiiForums
Lissu Mungu anamuimarisha sure Jamaa akitoka hospital utaona atakavyokuwa mwepesi na rahisi kutamka lolote. Mwili utarudi ujanani zaidi na kuwa hatari zaidi kisiasa. Viva Tanzania Viva Lissu.
Pascal Njaa ( Mayala) huwa nakuelewa sana. Katuka kila post zako nimetafuta biasness nimekosa kabisa.. Huwa unatuliza kichwa sana. Jamaa (Makame) ni Mtu mwenye Hekima sana, msikivu, msomi mzuri na asie na upendeleo wowote katika awamu Hii japo ni ngumu ila jamaa hajabadilika.
Yaani mi nasikitika Jinsi mawazo ya watu wengi yanavyopuuzwa.. Nasema gharama ya kubomoa tu unajengea Nyumba majirani Wa Tanesco wote.. Sasa Kwa nini tutumie Nyundo kumuua Mende.?? Wawaite watu watengeneze mji kulingana na Natural features tulizonazo.. Askari monument inaweza kuhamishwa lakini...
Halafu mtumishi Wa umma anasubiri daraja lipande, increments za July, na malimbikizo yalipwe mtakufa maskini nyie amkeni, fanyeni biashara ndogo ndogo kujikwamua. Halafu serikali ipunguze kidogo kuwabana watumishi maisha yapo juu na miaka 2 sasa no increments kwenye salary duh...
Sent using...
Shida hii Dini huwa wanadhani kufia dini ni haki mbele za Mungu, na kuwaona wengine makafiri. Pole ila uache ujinga ishi na with wote bila kurank Kwa dini yake. Sisi wakristo tunawapenda sana Waislamu Ila Nyie mnatutusi kila mahubiri yenu. Kweli hilo mlilofanya ni kosa maana mnajenga jamii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.