Recent content by zacon franco

  1. zacon franco

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    tunatumia AD na BC sababu ni mfumo wa calendar ulioanzishwa na WARUMI na kusambazwa katika utawala wao ambapo ni modern Britain , Germany ,France, Italy ...nk.. hivyo huo mfumo unatumika sababu ya ukoloni. mataifa yaliyoweza kuunda calendar zao mf. CHINA , ETHIOPIA , hata wanamfumo tofauti ila...
  2. zacon franco

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    unaendelea kuprove right nlichosema kuhusu IQ za wafia dini. Think harder , ni vigumu najua ila jaribu
  3. zacon franco

    Tulioenda majuu na kurudi home, tukutane hapa tupeane uzoefu, mafanikio na sababu zilizotufanya turudi

    mimi sio mkristo, ila hakuna cha kupoteza kwenye kutafuta ukweli. ka view channel on your free time
  4. zacon franco

    Tulioenda majuu na kurudi home, tukutane hapa tupeane uzoefu, mafanikio na sababu zilizotufanya turudi

    Tafuta channel ya THE APOSTATE PROPHET youtube ina good reasoning
  5. zacon franco

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Unavyoquote barua za biblia kama moral highground inaonyesha tayari huwezi fikiri nje yake. Heshima ya utawala bora haitoki kwa mungu bali hutokana na serikali kuwa na maslahi sawa na majority ya raia. Kuheshimu utawala kisa hadithi za biblia ni namna yakucontroll watu wasitetee haki na...
  6. zacon franco

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    ndo serikali yetu ya sasa . wanamquote mungu kila sekunde wapatayo while wana abuse human rights and their constitutional powers , at the same time wamewaconvince a large group of people that they are doing it for the good of the country. And they are succeeding because of people's prayers.. ...
  7. zacon franco

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    kuna clear difference in critical thinking kati ya wanaotheorize mungu yupo na hayupo. baada yakusoma hoja zote utaconclude, mungu hayupo kama una reasoning IQ above average.
  8. zacon franco

    Atheists tulionekana wa ajabu sana!

    kwanza hapo zamani babu zako walitembea nusu uchi, kwaiyo mlegezo na sketi fupi ni upgrade. pili wazee wako waliamini miungu mbali mbali na jamii nyingine zilitoa kafara za watu ili mvua inyeshe ,hakuna tofauti yao na wewe sababu wote hamjajiuliza nje ya ulichofundishwa. pia kuna scientific...
  9. zacon franco

    Tulikuwa sawa na China,Vietnam na Thailand lakini sisi Tanzania bado tumedumaa kwasababu hizi

    Kuna watu jf unatakiwa uwamark kwamba umewazidi uwezo wakufikiria .kukudrain mentally ndio nia yao,jibu Bila kuwa quote.
  10. zacon franco

    Jenerali Ulimwengu achambua tija za Wakuu wa Wilaya, Mikoa wakati wa Ukoloni vs CCM

    ma mayor na ma gavana wanachaguliwa na wananchi sii raisi
  11. zacon franco

    Tanzania: Chanzo cha kuporomoka kwa Maadili katika Jamii na Hatma ya Taifa!

    what ur trying to say is there was a con black woman who lied people she could see the future at dodona . we still have many of those nothing special
Back
Top Bottom