Recent content by zackfinance

  1. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta mawakala kwa ajili ya Microfinance

    ni kweli umeelewa kabisaaaaaaaa tofauti ya employee na agents kwa 100%
  2. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta mawakala kwa ajili ya Microfinance

    thanks, endelea kuwa positive. mawasiliano yetu +255 713 701 810 hi, unaweza kunipigia simu +255 713 701 810 au kututembelea ofisini kwetu BUNJU B-DSM
  3. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta mawakala kwa ajili ya Microfinance

    that is why nimekuambia think positive na kama unao ushauri ruksa kutupigia simu +255 713 701 810 then ukatupa mchango wako positively.
  4. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta mawakala kwa ajili ya Microfinance

    ZACK FINANCE-BUNJU B tunapenda kuwafahamisha kuwa tutatoa UWAKALA kama ifuatavyo; 1.SILVER AGENT-Hawa ni wale mawakala(MEMBERS) wadogowadogo ambao hawana ofisi(frame) ambao watakuwa wanapewa faida ya 5% kutokana na wateja watakao waleta na kuwadhamini ili wapewe mkopo nasi 2.BRONZE AGENT-Hawa...
  5. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta mawakala kwa ajili ya Microfinance

    sisi ni kampuni ya inayohusika na mambo ya micro credit nainaitwa ZACK FINANCE, tumeisajili mwaka 2010 Tanzania kwa reg no 211495 na business licence no B 01372100 na tupo BUNJU B karibu na UPENDO DISPENSARY DSM.
  6. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta mawakala kwa ajili ya Microfinance

    think positive guys.........tumeshasema ni uwakala wa mambo ya MICRO FINANCE
  7. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta mawakala kwa ajili ya Microfinance

    Habari wadau wa JAMII FORUM, ZACK FINANCE-BUNJU B, DSM inayoshuhulika na MICRO-CREDIT yenye reg no 211495 ya mwaka sept 2010 tunapenda kuwafahamisha kuwa tunatafuta MAWAKALA ambao watakuwa wanatusaidia na kushirikiana nao katika shughuli zetu mbalimbali za MICRO FINANCE(UTOAJI WA MIKOPO), hii...
  8. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kufikiria kuwa wakala wa mambo ya mikopo?

    Je? Ulishawahi kufikiria au kuwa na mawazo ya kufanya biashara ya microfinance(kushughulika na utoaji wa mikopo) ila hauna utaalamu huo, mtaji wa kutosha au muda wa kufuatilia biashara hiyo? Tufuate kwenye facebook(zackfinance) na utumie email yako na share ujumbe huu kwa rafiki zako ili...
  9. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuwa wakala wa mambo ya mikopo

    Je? Ulishawahi kufikiria au kuwa na mawazo ya kufanya biashara ya microfinance(kushughulika na utoaji wa mikopo) ila hauna utaalamu huo, mtaji wa kutosha au muda wa kufuatilia biashara hiyo? Tufuate kwenye facebook(zackfinance) na utumie email yako na share ujumbe huu kwa rafiki zako ili...
  10. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    HI WADAU WA JF, RAIS KIKWETE KUHUTUBIA LEO 19/12/14 NINI MAONI YAKO? CHANZO CHA HABARI;Rais Kikwete kuhutubia taifa leo - Mtanzania-Gazeti la Kiswahili la ...
  11. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa graduates

    safi inapendeza!
  12. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Tunapiga hodi wanajf

    thanks
  13. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta tenda za kukusanya madeni

    cha msingi wakati wa kukusanya deni lazima tupate ushahidi au mkataba au doc yeyote inayoonyesha au kuthibitisha madai hayo hilo deni.
  14. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa mikopo na biashara

    niqqas quote tumehamia BUNJU B kwenye jengo letu! kumbe unatufahamu ni kweli tulianzia ILALA, BOT ref FD. 349/442/01 kutoka microfinance supervision dept(DIRECTORATE OF BANKING SUPERVISON)
  15. zackfinance

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa mikopo na biashara

    kukujibu swali lako la email! BOT(directorate of banking supervision) wanachotaka waone ni mchanganuo wako wa biashara, brela doc, Bank statement(6 months), CV za owners etc pia wanakuja kukagua ofisi yenu! then unapewa barua copy inaenda wizara ya viwanda na biashara! ndio unapewa leseni! na...
Back
Top Bottom