Tunatafuta tenda za kukusanya madeni

Tunatafuta tenda za kukusanya madeni

zackfinance

Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
47
Reaction score
12
habari wana JF,

sisi(ZACKFINANCE) tunauzoefu wa miaka 5 wa mambo ya mikopo na micro finance na miaka 2 ya uzoefu wa kukusanya madeni! tupo DAR ES SALAAM!

mwenye TENDA yoyote ya kukusanya madeni tuwasiliane email;zackfinancetz@gmail.com au simu +255 713 701 810 au +255 715 030 866
 
kuna mjinga namdai kitambo afu katajwa sakata la escrow...sijui mtanisaidiaje wandugu
 
Mnatumia vitisho gani ili watu walipe. Kuna jamaa town kama unadaiwa wanakufata home kama saa mbili usiku
Wanakuja na nyoka kama 2 au 3 usipolipa wanawaacha wale nyoka nyumbani kwako mpaka utakapolipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wana JF,

sisi(ZACKFINANCE) tunauzoefu wa miaka 5 wa mambo ya mikopo na micro finance na miaka 2 ya uzoefu wa kukusanya madeni! tupo DAR ES SALAAM!

mwenye TENDA yoyote ya kukusanya madeni tuwasiliane email;zackfinancetz@gmail.com au simu +255 713 701 810 au +255 715 030 866
Hata deni la mtu binafsi? Kuna jamaa ananizungusha sana.
 
Back
Top Bottom