Tunatafuta mawakala kwa ajili ya Microfinance

zackfinance

Member
Apr 6, 2013
47
12
Habari wadau wa JAMII FORUM,

ZACK FINANCE-BUNJU B, DSM inayoshuhulika na MICRO-CREDIT yenye reg no 211495 ya mwaka sept 2010 tunapenda kuwafahamisha kuwa tunatafuta MAWAKALA ambao watakuwa wanatusaidia na kushirikiana nao katika shughuli zetu mbalimbali za MICRO FINANCE(UTOAJI WA MIKOPO), hii itaanza JUNE 2016 na ni kwa ajili ya watu wa DSM tu kwa sasa, na hasahasa sehemu kama KIMARA/MBEZI, KEKO/TEMEKE na TABATA nk

Aina za mawakala ni SILVER, BRONZE, GOLD & DIAMOND maelekezo yapo hapo kwenye post ya chini(au tutumie swali kwa whatsapp/sms)

NB;Tunaanzisha GROUP la whatsapp(ZACK AGENTS) +255 713 701 810 kwa watakao kuwa na ofisi au kufikiria kuwa na ofisi ili watu waweze kuuliza maswali na kutoa mawazo yao.

wako,

Isaack Mng'anya

CEO & FOUNDER-ZACKFINANCE

Mob;+255 713 701 810
Email;zackfinance@yahoo.com
 
Habari wadau wa JAMII FORUM,

Tunapenda kuwafahamisha kuwa tunatafuta MAWAKALA ambao wataanza kazi kuanzia JUNE 2016 ambao watakuwa wanatusaidia na tunashirikiana nao katika shughuli zetu mbalimbali za MICRO FINANCE, hii ni kwa ajili ya watu wa DSM tu kwa sasa.

Tutaendela kutoa maelezo zaidi, tunaomba muendelea kutufuatilia, ila wenye leseni za biashara na ofisi(FRAME) watapewa kipaumbele zaidi.

wako,

isaack
Ungesema uwakala wa bidhaa au huduma ipi. isije ikawa uwakala wa kuuza madawa ya kienyeji
 
Habari wadau wa JAMII FORUM,

Tunapenda kuwafahamisha kuwa tunatafuta MAWAKALA ambao wataanza kazi kuanzia JUNE 2016 ambao watakuwa wanatusaidia na tunashirikiana nao katika shughuli zetu mbalimbali za MICRO FINANCE(UTOAJI WA MIKOPO), hii ni kwa ajili ya watu wa DSM tu kwa sasa.

Tutaendelea kutoa maelezo zaidi, tunaomba muendelea kutufuatilia, ila wenye leseni za biashara na ofisi (FRAME) watapewa kipaumbele zaidi. na ruksa kuwasiliana nasi kwa mawasiliano hapo chini.

wako,

Isaack Mng'anya

CEO & FOUNDER-ZACKFINANCE

Mob;+255 713 701 810
Email;zackfinance@yahoo.com
ukitaka kuanzisha biashara Tabora tuwasiliane mkuu
 
June si mbali kiongozi.

Weka bayana.

Ninyi ni nani na mnatoa huduma gani katika microfinance. Sifa yenu kuu ni ipi ambayo itawatofautisha na Micro finance service providers wengine. Mko wapi na wapi na mna uzoefu gani katika fani.

Nini majukumu ya wakala wanaotafutwa.

Ni nini sifa za wakala anayehitajiwa.

Kazi zake zitakuwa nini.

Malipo yake yatakuwaje.

Una nafasi ngapi.

Funguka mkuu. Biashara matangazo.
 
sisi ni kampuni ya inayohusika na mambo ya micro credit nainaitwa ZACK FINANCE, tumeisajili mwaka 2010 Tanzania kwa reg no 211495 na business licence no B 01372100 na tupo BUNJU B karibu na UPENDO DISPENSARY DSM.
 
ZACK FINANCE-BUNJU B tunapenda kuwafahamisha kuwa tutatoa UWAKALA kama ifuatavyo;

1.SILVER AGENT-Hawa ni wale mawakala(MEMBERS) wadogowadogo ambao hawana ofisi(frame) ambao watakuwa wanapewa faida ya 5% kutokana na wateja watakao waleta na kuwadhamini ili wapewe mkopo nasi

2.BRONZE AGENT-Hawa ni mawakala wa kati ambao wenye ofisi na leseni yoyote ya biashara, watakuwa wanapewa faida ya 8% kutokana na kila mteja atakayekuja ofini kwake na kuhudumiwa naye na hawahitajiki kuwa mtaji wowote.

3.GOLD AGENT-Hawa ni mawakala wakubwa ambao wanatakiwa wawe na frame na leseni yoyote ya biashara ambao watapewa 20% ya faida ya kila mteja watakaye muhudumia, ila watatakiwa wawe na mitaji yao wenyewe(kuanzia tsh 100,000)

4.DIAMOND AGENT-Hawa ni wale mawakala wakubwa ambao hawana ofisi wala leseni na hawataki kujishuhulisha moja kwa moja na mambo ya mikopo ila watakuwa wanawekeza9kununua share) tu na kupatiwa 10% ya faida ya kila hela(share) watakayoiweka, shares zitaanzia tsh 500,000.

NB; 1. Mikopo itakuwa ya BIASHARA, DHARURA na KWA WAFANYAKAZI
2. Pia tunawafahamisha kuwa tunayo leseni ya KUKUSANYA MADENI no B 01363248

wako,

ISAACK MNG'ANYA
CEO&FOUNDER
ZACK FINANCE
BUNJU B-DSM
MOB/WHATSAPP+255 713 701810
 
sisi ni kampuni ya inayohusika na mambo ya micro credit nainaitwa ZACK FINANCE, tumeisajili mwaka 2010 Tanzania kwa reg no 211495 na business licence no B 01372100 na tupo BUNJU B karibu na UPENDO DISPENSARY DSM.

Mkuu namna gani sasa? Inakuwaje mheshimiea raisi?

Sifa za mwombaji ni frame na ukubwa. Ukubwa unapimwaje? Frame ni nini?

Kazi ya wakala ni kufanya nini? Inahusianaje na ukubwa na frame?

...ngumu kuelewa.
 
think positive guys.........tumeshasema ni uwakala wa mambo ya MICRO FINANCE

Na wewe ukisema mambo ya micro-finance, unazidi kushusha hadhi ya taasisi yako kwamba si wanataaluma. Sijawahi kusikia mtaaluma anasema mambo ya micro-finance. Hapa ni dalili ya tatizo kubwa.

Mnaweza kuajiri wataalamu wakawasaidia kuendesha hiyo kitu yenu?
 
Mkuu kunatatizo sana la wataalamu wa kibongo wengi wezi na kampuni nyingi zinakufa kwa kufilisiwa na wataalamu wa kibongo. Ndiyo sababu huyo bwana ana tumia njia mbadala kuliko ya kuajiri mojakwamoja.
Huwezi jua hilo mpaka uwe Kwenye biashara husika utajua ugumu wake.
 
Wewe unaongelea hicho unachodhani kukielewa ambacho hata hivyo kwa maelezo yako napata shaka kama unakifahamu vizuri, mimi nina mwulizia utaalamu wa uendeshaji.

Mimi wala siko katika hilo daraja. Nimeona tu kwamba yeye msemaji si mwanataaluma.

Atatumia njia mbadala ya kuwa na competent and professional CEO?

BTW, unajua taaluma zangu kiongozi?

Mchana mwema.
 
Have you ever practice?
Theoretically is simply, jaribu uone ugumu wake.
Kuna mambo rahisi sana ukiyasoma na ila hayaja changanua uhalisia wa mazingira ya mahali unapo fanyia biashara husika.
Changamoto za ULAYA hazifanani kwa asilia 100 na za Africa.
Pengi huja nielewa nini namaanisha
 
Na wewe ukisema mambo ya micro-finance, unazidi kushusha hadhi ya taasisi yako kwamba si wanataaluma. Sijawahi kusikia mtaaluma anasema mambo ya micro-finance. Hapa ni dalili ya tatizo kubwa.

Mnaweza kuajiri wataalamu wakawasaidia kuendesha hiyo kitu yenu?

that is why nimekuambia think positive na kama unao ushauri ruksa kutupigia simu +255 713 701 810 then ukatupa mchango wako positively.
 
Have you ever practice?
Theoretically is simply, jaribu uone ugumu wake.
Kuna mambo rahisi sana ukiyasoma na ila hayaja changanua uhalisia wa mazingira ya mahali unapo fanyia biashara husika.
Changamoto za ULAYA hazifanani kwa asilia 100 na za Africa.
Pengi huja nielewa nini namaanisha

thanks, endelea kuwa positive. mawasiliano yetu +255 713 701 810
Mkuu namna gani sasa? Inakuwaje mheshimiea raisi?

Sifa za mwombaji ni frame na ukubwa. Ukubwa unapimwaje? Frame ni nini?

Kazi ya wakala ni kufanya nini? Inahusianaje na ukubwa na frame?

...ngumu kuelewa.

hi,

unaweza kunipigia simu +255 713 701 810 au kututembelea ofisini kwetu BUNJU B-DSM
 
Back
Top Bottom