Weekend hii mida ya jioni tukiwa tunajiaandaa kwenda kwenye part ya harusi ya rafiki yetu ndipo mada hii ilipozuka na kutuchanganya wadau.
Baadhi yetu tukasema upendo ndio chanzo kikuu cha ndoa lakini tulipata upinzani mkali toka kwa upande mwingine wakisema kipato ndio chanzo cha ndoa.
Hoja...
Hii mada ni kweli kabisa.
Kuna rafiki yangu namfahamu alikuwa anapiga box usa,alifanikiwa mpaka kuoa na kupata familia huko.
For some reason alijimix na fbi then akawa deported back to bongo.
Cha kushangaza alipokuja bongo due to his savings alizofanya kipindi anapiga box plus exposure jamaa...
kuna uhuni umeanza voda,me pia nimeweka salio ya buk 2,nikajiunga na cheka nao ya siku,nimepiga simu kwa watu wawili maongezi yasiyozidi dakika kumi kwa jumla mara salio langu halitoshi.
Me nadhani ishu hii ni zito na ina ukweli,kama we kijana ukiwa una girl wako na hauna ghari si dhani kama as u utakuwa na amani coz mwenye ghari anaweza kukupiku muda wowote either pasipo we kujua ama ukajua lakini ukashindwa na uchawi wa mzungu.
Tahadhari kwa wale mnaudhuria vikao bubu vya serikali za mtaa,hii ni baada ya mwenyekiti kumpiga mjumbe mmoja mtama kima cha ndama na kumfanya mjumbe huyo kuwahishwa hospitali akiwa ajielewi,hii ni baada ya kupinga mahesabu ya mwy/kiti.
Ushauri; jihami na bodyguard kwenye vikao vya mahesabu.
Mimi ni mfugaji nyuki,nimekuwa nikitumia njia ya kawaida ya kukamua masega ya nyuki ili kupata asali.
Nahitaji mashine ili niweze kuwa bora zaidi kwenye utengenezaji wa asali basi kwa yule anayefahamu zinapoatika na bei zake naomba anisaidie information.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.