Recent content by Zack Abdul

  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Your Story Isn't Over: Embrace the Journey

    To the next generation, I hope you never forget that life will not always be easy. There will be days when you feel tired, lost, disappointed, and even wonder if your dreams are worth chasing. I hope on those days, you remember that your current situation is not the end of your story. You may...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania WAGENI WAFURAHISHWA NA MAPOKEZI JIJINI ARUSHA MKUTANO WA IPU.

    Baadhi ya Wabunge na Wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU, wameeleza kufurahishwa na mapokezi wakati wakiingia nchini kushiriki mkutano huo wa 153 unaotarajiwa kuanza Oktoba 5-9, 2026 pamoja kuipongeza Serikali na Bunge la Tanzania kwa maandalizi makubwa ya Mkutano huo ambayo mpaka...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tuombe Mungu atuepushe na El Niño

    Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada kuendelea kumuomba Mungu aepushe. Mungu, yeye anaweza kutuepusha na haya yote. Dkt. Mwigulu Nchemba...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. SAMIA: SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na taasisi za dini nchini katika kutekeleza majukumu yao ya kiroho na kijamii kwa ajili ya ustawi wa Watanzania. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo (Jumapili, Oktoba 4, 2026)...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania UTALII WA MIKUTANO ARUSHA: Chachu Mpya ya Ukuaji wa Uchumi wa Jamii

    Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) jijini Arusha imeanza kuzaa matunda kwa kuchochea mnyororo wa thamani wa kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Ukuaji huu unathibitishwa na ujio wa wajumbe zaidi ya 3,000 wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kuandaa COP12 Mkataba wa Nairobi 20

    Tanzania inatarajia kuwa mwenveii wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) utakaofanyika iijni Dar es Salaam kuanzia Oktoba 6 hadi 9, 2026, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kushirikiana na Taasisi za Dini

    Mheshimiwa Rais amenituma niwahakikishie kuwa Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi zetu hizi za dini, Dkt. Mwigulu Nchemba Waziri Mkuu wa Tanzania 🗓️Oktoba 4, 2026 📍HANDENI, TANGA —————————————————- Amesema hayo alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Misa...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Amani Ni Kwa Watanzania Wote - Dkt. Nchemba

    Wanufaika wa amani ni Watanzania wote. Wanufaika wa amani sio Serikali pekee yake. Wanufaika wa amani sio vyama vya siasa pekee yake. Wanufaika wa amani ni Watanzania wote Dkt. Mwigulu Nchemba Waziri Mkuu wa Tanzania 🗓️Oktoba 4, 2026 📍HANDENI, TANGA —————————————————- Amesema hayo...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RC ROSEMARY SENYAMULE: HUDUMA BORA KWA WAZEE NI KIPAUMBELE

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema Serikali ya Mkoa itaendelea kuhakikisha changamoto zinazowakabili wazee zinapatiwa ufumbuzi, hususan katika upatikanaji wa huduma za afya. Amesisitiza watendaji kuwafuatilia wazee kwa karibu na kujiridhisha kuwa wanapata huduma za...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania IPU Arusha: Zaidi ya Mkutano wa Bunge

    #IPU Arusha si mkutano tu wa viongozi wa mabunge. Ni diplomasia. Ni fursa za kiuchumi. Ni utalii. Ni utamaduni. Na kwa Tanzania… Ni nafasi ya kuonesha dunia kile ambacho nchi hii inaweza kufanya. #IPU2026.
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mother vs. Wife: Separate Roles

    having a good mother doesn't mean your father has a good wife
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kamati Tendaji ya IPU Yakutana Kujiandaa

    Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Katibu Mkuu wa IPU, Mhe. Balozi Anda Filip wakisalimiana na viongozi mbalimbali wa Kamati Tendaji ya IPU kabla ya kuanza kwa kikao chake leo Oktoba 03, 2026. Kikao hicho cha Kamati Tendaji ya IPU ni maalum kuelekea kuanza kwa...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania BADO TUPO MARA

  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Leo katika kumbukumbu

    02 Oktoba 2021 — Rais Samia alishiriki Siku ya Mlezi wa Skauti Tanzania Tarehe 02 Oktoba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alishiriki Siku ya Mlezi wa Skauti Tanzania, iliyofanyika katika Viwanja vya Ikulu Chamwino, Dodoma. Katika hotuba yake, Rais Samia...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania UMASIKI, CHIKI NA UCHAWI NI KULWA NA DOTTO

    Chuki kubwa waliyonayo watu wengi dhidi ya watu waliofanikiwa kisiasa au kiuchumi inatokana na Umaskini wa kipato na umaskini wa fikra. Chuki ikizidi huzaa roho mbaya na roho mbaya na Uchawi ni kama kurwa na dotto.
Back
Top Bottom