Recent content by zachariano alexido

  1. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Ukimgomea kibaka asichukue chako basi, uwe umeridhia rasmi kuingia vitani mulaaaa,pigana sana UKIPATA kisu choma KWELI ukiwaacha unakufa wewe
  2. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Kaka huku kama huwezi jipambania MWENYEWE, sahau polisi kukulinda sahau, HUKO uswahilini watu wananyanganywa vitu hasa zanzibar isikie tu forodhani, DARAJANI kwisha huku kwingine kuwa MAKINI haswa
  3. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Kaka mchana SAA SITA, polisi wakienda HATA SAHII, KUULIZA wataambiwa, alafu jeshi la ulinzi hapa zanzibar doria zao mwisho mabarabarani kawaingii humu ndani
  4. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Kaka mi ni mgeni, juhudi nilizo onesha hujui tu, why Mimi mgeni unataka nifanye mkubwa? ilihali Kuna wazawa wapo hapo na wanaangalia, hakuna sheha? NASIKIA ni WATOTO wao hivo huleta UGUMU kumchukulia hatua, ila hawa vibaka mmoja alikua na tattoo usoni ana dreads rasi ana vaaga pensi na mlegezo...
  5. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Kaka hapo KILIMAHEWA BONDENI hutembei hatua kumi hija kita kundi la vijana wakivuta bangi mchana jua Kali, wakina mama wanachungulia tu masikini, nimeumia sana au huku HAMNA VIONGOZI WA ulinzi? Asee ukiishia stone town na DARAJANI UNAEZA SEMA pako shwari sogea huku kwengineko sasa
  6. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Mkuu pole sana naona ni utaratibu tu japo siamini kuwa POMBE haiuzwi mwezi ramadhan, ila haifai kuuzwa hadharani sana au ovyo, watalii MBONA wanapombeka tu kama kawa
  7. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Cuba inavyozidi kurudi kwenye zama za mawe

    Dah! Kula mbususu za wakina dada POA , mpaka wastaarabu wamepigwa na life mkuu.
  8. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Kwa macho yangu Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka. Nina muomba kiongozi mwenye dhamana ya USALAMA ZANZIBAR awajibike ziende fenda za polisi kukamata wale vijana WOTE wenye tattoo na wanao vuta...
  9. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Cuba inavyozidi kurudi kwenye zama za mawe

    USHA ONA, WANA NJAA HATARI, MITAANI YANI UNAAMBIWA MADEMU WA KULE WANAOJIUZA UKIENDA NA DOLLAR KADHA NI KULOMBA TU YANI
  10. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

    BADO TU NAJIULIZA VIJANA WA OKTOBA 29 WANAWASUBIRI WAKIWA NA HALI GANI? HUKO KWA MUUMBA
  11. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

    MMMMMMH HAYA MANABII UCHWARA MBONA YAANZA KUNITISHA, LILE NABII TAPELI JUZI HAPA LILISEMA MWAKA HUU WATADONDOKA VIONGOZI WA JUU SIIJUI WA NINI, NIMESAHAU, ANYWAY TUPENDANE NDUGU ZANGU DUNIA TUNAYO IPIGANIA KWA NGUVU SI KITU,WALE TUNAO ONA HAWASTAILI KUISHI NA SISI PIA TUSIJISAHAU, UKIPIGA MTU...
  12. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu kasomesha mdada hadi akamaliza shule. Dada kamaliza Chuo kashapata mtu wake anamkataa

    Kila SIKU nasema huku kama HUNA muda na MWANAUME usichukue chake usile hela ya MWANAUME usiempenda
  13. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki wa OnlyFans afariki dunia

    Hahahahaa SAWA kaka siku ukikanyaga zanzibar KAKA nistue kaka tafadhali
Back
Top Bottom