Recent content by Zacharia Kifyasi

  1. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

    Ngoja nikaangalia ze comedy, huu uzi unanitia hasira sana! Hao waliofanyiwa test ni wa.se.nge.re.ma
  2. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

    Sasa mi nashindwa kuelewa, hicho kibabu anacho toka 2006, sasa hizo test kwa watu 6 wote za nini?
  3. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

    Nina hasira sana na hao vijana walio kugegeda,...... Hivi ntakupataje hasa?
  4. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

    Huu sasa ni umalaya 3+3=6, kazi ipo!
  5. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali namna ya kudownload

    Naombeni msaada jinsi ya kudownload nyimbo za band ya msondo. Nimejaribu waptrick sijapata au sijui mimi nakosea kuandika jina!
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Jela kwa kumuweka kinyumba mwanafunzi umri miaka 16 - Je, si ubakaji?

    Hata kama angezidi miaka 20 ni kosa kuishi nae kinyumba bila ndoa! Lakini kwa huyu wa miaka 16 mimi sishangai kwa sababu siku hizi watoto wa kike wenyewe ndio wanao jipendekeza kwa wanaume. Mifano tunayo tuko nao huku mitaani.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Ray C ampokea Yesu na kubatizwa

    We ni mbumbumbu tu... Yani yale maandishi ya kiarabu ndo yanakufanya uwe hivyo..??? Kweli #muhamad aliwaachia janga la kimashariki ya kati!
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Ray C ampokea Yesu na kubatizwa

    We ni mbumbumbu tu... Yani yale maneno ya kiarabu ndo yanakufanya uwe hivyo..??? Kweli #muhamad aliwaachia janga la kimashariki ya kati!
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ray C ampokea Yesu na kubatizwa

    Kweli muhamad aliacha janga
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ni sawa na Mwanawake.

    Unajua ndiomana siku hizi ndoa hazidumu kwa sababu kila mtu anataka kuwa na ndevu!
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Taarifa Njema kwa wapenda AMANI - REDIO IMAAN itakuwa hewani in near future-ELIMU BILA MIPAKA

    Sasa waendelezeni tena uchochezi wao waone! Wamuulize Ponda Ponda!
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Ni aibu kubwa, kijijini alikozaliwa Kikwete aolewa mtoto mwenye miaka 8!

    Kwa hiyo yeye ameona hilo tatizo lipo bagamoyo tu?
  13. Z

    JamiiForums Tanzania magazeti bora katika habari za siasa Tanzania

    Ni vigumu sana kwangu siku hizi kununua gazeti kwa sababu yote yanaandika udaku mtupu!
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Waliohusika na kumpiga risasi Ponda wasakwe na kufikishwa mahakamani

    Huyu si ndio yule profesor aliye tuhumiwa kufumwa kwenye msikitini akishawishi waislam wamchague 2015?
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Polisi wamtaka Sheikh Ponda ajitokeze kusema nani alimpiga risasi

    Wananchi wa Tanzania kama hatutaingiwa na roho kama zile za wamisri, tutaishia kulalamika hivihivi........ Na huyu Ponda nae serikali ilikosea sana kumwachia huru!
Back
Top Bottom