Recent content by zacha

  1. zacha

    JamiiForums Tanzania KERO Mabosi Serikalini bwana, mtu anakaa na file wiki 2, hivi huwa mnayafanya nini?

    Mkuu Ni urasimu tu usiokuwa na mipaka kwa mfano kila kitu kipo online lakini mtu kupitisha ni issue TRA ni Taasisi inayoongoza kwa urasimu huu, bila kitu kidogo kazi yako inalala Mtf panahitaji maboresho makubwa, rushwa inaombwa bila kupepesa macho.
  2. zacha

    JamiiForums Tanzania Kutoka Makamu Mpaka Mateka: Je, Huu ni Uongozi wa Katiba au ni Deni la Fadhila kwa Mzee wa Remote

    Miaka 100 Kama pesa tu anaficha uvunguni Mabeki 3 full kumliza Vitu vyeupe gharama sana
  3. zacha

    JamiiForums Tanzania Kutoka Makamu Mpaka Mateka: Je, Huu ni Uongozi wa Katiba au ni Deni la Fadhila kwa Mzee wa Remote

    Mkuu Shikamoo Kwamba mwalimu hawezi tema ng'eng'e hizi Mbombo jilipo.....
  4. zacha

    JamiiForums Tanzania Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

    Yupo stressed Polygamy ni changamoto Vitu vyeupe ni gharama Sana Ajichubue naye
  5. zacha

    JamiiForums Tanzania Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

    Mdini sana
  6. zacha

    JamiiForums Tanzania Mwamficha hadi lini. Siye Tuna hamu kumwona mbele ya umma

    Dau ya jana haijasaidia ni mwendo wa Dau tu
  7. zacha

    JamiiForums Tanzania TRA mnarudia kosa lile lile

    Mkuu Kwa sasa Ari siyo kabisa Biashara nyingi zinafungwa sababu tu labda mhuska Anadaiwa kodi. Mfano; CCM ilala imewafungia wapangaji wao milango yao ya biashara. Kumfungia mtu biashara na kutaifisha mali zao siyo suruhu. Mbwa kala mbwa!
  8. zacha

    JamiiForums Tanzania Nape kapotelea wapi?

    Mkuu Halafu huwezi amini hii majuzi baada ya kutumbuliwa tena ndiyo akaanza ujenzi Yuko busy na ujenzi
  9. zacha

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

    Rais ambaye hajawai kugombea nafasi hiyo kuwa Rais Tuendelee kula mtori, nyama ziko chini!
  10. zacha

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzee Alhaj Luteni (Mstaafu) Yusuf Makamba M/kiti CCM Bara

    Ilikuwa kete baada ya Mangula Lakini mahaba yakatawala Mpaka leo ni vilio tu
  11. zacha

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

    Jitahidi kucontrol mahaba yako
  12. zacha

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

    Wewe ni maskini Maskini wa kufikria mpaka kipato
Back
Top Bottom