Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,133
- 29,696
Wapigwe bisi bisi za macho tu wawe vipofuKwa hiyo unashauri wavunjwe viuno,viwiko au wakatwe videvu vyao?
Wapigwe bisi bisi za macho tu wawe vipofuKwa hiyo unashauri wavunjwe viuno,viwiko au wakatwe videvu vyao?
Kwa hiyo hizo risasi ziishie kwenye nyusi zisiingie kwenye iris?Wapigwe bisi bisi za macho tu wawe vipofu
Siyo risasi ni bisibisi za machoKwa hiyo hizo risasi ziishie kwenye nyusi zisiingie kwenye iris?
Kodi ni upuuzi.Halafu ndio wanataka watu wajiajiri kwa utitiri huu wa kodi.
Bado hela ya taka 5k, ulinzi 5k, leseni ya TRA.
Kuzaliwa Tz ni kilio
Nimesoma huu uzi na nilichogundua kuwa ni halmashauri ndiyo waliopita huko. tra wao hawatoi liseni ni halmashauri ndiyo wanatoa na pia hata sheria ya kuchukua vitu tra hawana utaratibu huo.ukipita hata maeneo ya mjini samora mara nyingi sana utaona wauza nguo au viatu au mabegi wananyan'ganywa vitu vyao na watu wanaosadikika ni mgambo wa halmashauri. hivo inaonekana hata huko kivule itakuwa ni hao haokuna zoezi la kukusanya kodi madukani linaendelea uratibu uonaotumika ni kuvamia maduka ya watu na kuchukua vitu imepelekea baadhi ya maofisa kupigwa maeneo ya kivule, ni utaratibu gani huu jamani elimu ya kodi inatakiwa..... kwa sasa maduka yote yamefungwa nimemuuliza mfanyabiashara mmoja kwanini umefunga akasema hana leseni nikamuuliza leseni ya biashara au leseni ipi? akasema hajui kifupi maeneo ya kivule jana ilikuwa ni fujo tupu na ikumbukwe huku wanaishi wakurya tujiandae kusikia lolote
uko sahihi ila subiri adhurike mtu tuanze kuombana msamahaBahati nzuri wafanyabiashara wengi wanafahamu kabisa hawana leseni na vibari vingine vya kufanya biashara.
Hakuna haja ya kuwatetea, kama Sheria zipo zifuatwe na kama hatuzitaki hizo Sheria basi tuziondoe.
TRA Huwa wanapita na gari wanatangaza kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu biashara, ila wengi wanapuuza wanasubiri kufatwa walipie kwa nguvu.
TRA kamateni hao wajinga kama hawataki kufanya biashara kwa mujibu wa Sheria, ifike mahali tuache kuchekeana kuhusu kufata taratibu.
Anza wewe kutoa elimu.Wawe wastaarabu watoe elimu umuhimu wa kuwa na leseni
Anza wewe kutoa elimu.
Umuhimu wa kuwa na leseni ni upi?
Veta ndio wanatoa elimu ya umuhimu wa leseni? Unajichanganya!!!Nenda veta lipa ada wakufundishe usipende vya bure
TRA: Wanakusanya kodi za serikali.kuna zoezi la kukusanya kodi madukani linaendelea uratibu uonaotumika ni kuvamia maduka ya watu na kuchukua vitu imepelekea baadhi ya maofisa kupigwa maeneo ya kivule, ni utaratibu gani huu jamani elimu ya kodi inatakiwa..... kwa sasa maduka yote yamefungwa nimemuuliza mfanyabiashara mmoja kwanini umefunga akasema hana leseni nikamuuliza leseni ya biashara au leseni ipi? akasema hajui kifupi maeneo ya kivule jana ilikuwa ni fujo tupu na ikumbukwe huku wanaishi wakurya tujiandae kusikia lolote
kweli hata wale wa tegeta walikuwa jiji aiseeNadhani hao ni watu wa manispaa kitengo Cha biashara, wana mambo ya kidwazi sana. Huku kwetu wamepita hata kama wamekuta frem imefingwa na wao wanaweka kufulia lao. Kuna fremu toka zimejemgwa hazijawahi kufanya kazi ila wao walipofika wameweka kufuli kwa kuhisi wahusika wamekimbia.
Yah ni watu wa jiji na manispaa, wanatembeza kufuli kama chizi fresh na wanapenda kitu kidogo.kweli hata wale wa tegeta walikuwa jiji aisee
Veta ndio wanatoa elimu ya umuhimu wa leseni? Unajichanganya!!!
😂😂😂😂Hii nchi mtu akishakua na cheo hata ujumbe wa mtaa anafanya anavyojisikia sababu anajua hakuna kitu wananchi watamfanya.
Jirani ana saloon ya kiume walimchukulia mashine za kunyolea na kiti.
Unapulizwa na upepo wa veta Numbisa.Veta inakupa ujuzi uache ubishi. Kisha utaenda halmashauri upewe hio elimu.
Walikuomba kiasi gani ya usumbufu mkuu😀😀Mimi ni mhanga wa hao watu😂
Juzi walichukua vitu dukani wakaondoka navyo, jana nikafatilia wakasema hawanipi mpaka nitoe faini 100k, service levy 30k nikate na leseni 150k
Nilichogundua wanataka rushwa halafu wana lugha chafu sanaa.
Leo nikalipia service levy na leseni nikapewa vitu vyangu.
Vitu vikikaa kwa siku 7 wanavitahifisha.
100k ila sikutoa hata senti 1Walikuomba kiasi gani ya usumbufu mkuu😀😀