Daah! Umenikumbusha rafiki zangu wa utotoni, wamepotea kwny mazingira kama hayo, hatujui kama huko waliko wapo hai au laa! Mara wapo Kongo, mara Msumbiji, wengine wanasema baadhi walikufa Kule Mtwara mpakani, familia zao zimebaki wapweke, baadhi yao waliacha wake na watoto, inasikitisha sana...